Madhara ya kutumia vidonge vya Viagra

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
MADHARA YA KUTUMIA VIAGRA AU VEGA ( Sildenafil)?

viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi zinatumiwa na watu wenye matatizo katika mfumo wa uzazi yaani wasioweza kusimamisha vizuri kiungo cha uzazi lakini pia,imekua ikitumika hata kwa watu wasio kua na tatizo hilo ila anaitumia kwaajili yakumkomoa mwanamke flani na wengine hupenda kuiga vile wanavyofanya waigiza sinema za ngono (porn graph). bila kutambua madhara yake makubwa watu wanajiingiza kuzimeza dawa hizi,kwaleo napenda kukufahamisha jinsi inavyofanya kazi na madhara yake.

JINSI INAVYOFANYA KAZI:
Viagra,haimfanyi mtu kupata ashki ya kufanya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu atakua amepata ashki ya kufanya ngono. ili upate kuelewa jinsi inavyofanya kazi nibora kuelewa jinsi mwanaume anavyoweza kusimamisha uume. pindi mwanaume anapopata ashki ya kufanya mapenzi,mishipa ya mfumo wa fahamu ( nervours system) ilioko katika misuli ya uume hutoa kemiko zinazoitwa Nitric oxide (NO), ambayo huamrisha

viamshi ( enzymes) kuzalisha kemiko zingine tena zinazoitwa messenger Cyclic guanosine monophosphate ( cGMP ). cGMP huifanya misuli laini ya uume kujiachia na kutanuka ambapo matokeo yake huiruhusu damu kuingia na kujaa vizuri katika mishipa midogomidogo ( blood cappilaries) ilioko katika uume, hapo ndipo uume unaposimamavizuri sasa. hivyo basi Viagra hufanya kazi ya kusawazisha kiwango cha hii kemikali inayoitwa Cyclic guanosine Monophosphate ( cGMP ).madhara ya Viagra ;kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu

tatizo la pressurelakini ilionesha maajabu sana pale ilipo onekana kuwafanya wagonjwa kua na nguvu nyingi sana za kusimamisha maumbileyao ya uzazi, baada ya hapo zikazuiwa kutumika mahospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na zikarudishwa tena rasmi kwaajili ya watu wenye matatizo ya kusimamisha, ilikua

ikitumika kwa watu hasa waliokosa nguvu za kiume kwasababuza kisaikolojia hivyo basi chini ya usimamizi wa dactari walikuawanapewa dawa hizi huku wakipewa ushauri nasaha ili wajiamini kua wanauwezo wa kufanya vizuri tendo hilo baada ya muda flani mgonjwa hurudi katika hali yake ya kawaida na kuacha kuzitumia dawa hizi lakini kwa sasa watu wengi wanatumia hata kama anatatizo la mfumo wa uzazi bado atalazimishia tu kuzitumia matokeo yake ni kama ifuatavyo;

~ Mtu anaetumia viagra bila ushauri wa daktari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama pressure yuko hatarini kupoteza ihai wake.

~ Kadri mtu anavyotumia Viagra ndivyo tatizo linavyozidi kua baya zaidi, kwa sababu viagra inamfanya asimamishe kwa muda mfupi hivyo akitaka kufanya mapenzi siku ingine lazima azimeze tena dawa hizi hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kua torelance ( tegemezi hali ya kumfanya azidi kuongeza dozi yake ili apate nguvu zinazomtosheleza ) mwishowa siku dawa hizi hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.

~ Mtu anaetumia Viagra yuko hatarini kupata ukiziwi,

~ mtu anaetumia viagra ,yuko hatarini kupoteza uwezo wa kuona hii ni kutokana kwamba dawa hizi huuwa baadhi ya viachocheo vinavyofanya kzai ya kusafirisha mwanga na picha kuelekea katika mfumi wa fahamu kuharibiwa na dawa.

hivi.kulikoni kutumia dawa hizi ni bora ukatafuta dawa za mitishamba,mbona kuna dawa za mitishamba nimeshuhudia zikifanya kazi kwanini basi watu bado wanakimbilia chemotherapy ambazo zinaongeza magonjwa mwilini mwetu. Napenda kukushauri kuepukana na kukimbilia kutumia dawa hizo za Viagra ni hatari sana.

Kwa Mtu mwenye kutaka dawa ya kuongeza na kurudishanguvu za kiume dawa ya asili ninayo nitafute kwa Addres ya hapo chini.

:
MADHARA YA KUTUMIA VIDONGE VYA VIAGRA.jpg


V-PILLS.jpg

Hii V-Pills Gold ni dawa ya nguvu za kiume ni dawa ya asili isiyokuwa na madhara kwa mtumiaji.
 
Lugha za kibiashara bhana
Haya mkuu kama ni lugha ya Kibiashara tumia lakini ukija kuharibikiwa utakuja kunitafuta wewe mwenyewe nipate kukutibia. Kuna mtu mmoja amenitafuta na kunilalamikia kuhusu hivyo vidonge vya Viagra vimemuharibu nguvu zake za kiume hawezi kusimamisha Dushelele lake mpaka atumie hivyo vidonge vya Viagra na amekuwa ni mteja wa hivyo vidonge. Na amekuja kwangu nimtibie na sasa hivi ninataka nimtibie ili Dushelele lake lipate kufanya kazi na ni mtoto mdogo tu hajafikisha hata umri wa miaka 30.
 
Sasa vitakuharibuje kama ulikua huna nguvu za kiume?
Haya mkuu kama ni lugha ya Kibiashara tumia lakini ukija kuharibikiwa utakuja kunitafuta wewe mwenyewe nipate kukutibia. Kuna mtu mmoja amenitafuta na kunilalamikia kuhusu hivyo vidonge vya Viagra vimemuharibu nguvu zake za kiume hawezi kusimamisha Dushelele lake mpaka atumie hivyo vidonge vya Viagra na amekuwa ni mteja wa hivyo vidonge. Na amekuja kwangu nimtibie na sasa hivi ninataka nimtibie ili Dushelele lake lipate kufanya kazi na ni mtoto mdogo tu hajafikisha hata umri wa miaka 30.
 
Back
Top Bottom