2003 Boeing 727-223 disappearance. Tukio la ndege kuibiwa ikiwa uwanjani na kupotelea kusikojulikana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,830
Ilikuwa Siku ya Jumapili ya tarehe 25 May 2003, ndege aina ya Boeing 727, iliyosajiliwa kwa namba N844AA, iliibiwa kwenye bwana wa ndege wa Quatro de Fevereiro Airport, Luanda, Angola.

Kupotea law ndege hii kulipelekea msako mkali duniani kote huku ukiongozwa na shirika la upelelezi la Marekani United States' Federal Bureau of Investigation (FBI) Pamoja na shirika la Central Intelligence Agency(CIA).

Msako mkali umeendelea kwa miaka 17 sasa lakini ndege hiyo bado haijaonekana hadi leo.

Ndege hiyo Boeing 727-223 ilitengenezwa mwaka 1975 na kwa miaka 25 ilikuwa ikitumiwa na shirika la ndege la Marekani la American Airlines . Mmiliki wa mwisho wa ndege hii inaripotiwa kuwa ilikuwa ni kampuni venue makazi yake kwenye mji wa Miami, Aerospace Sales & Leasing na waliikodisha ndege hiyo kwa TAAG Angola Airlines ambapo waliiacha tu hapo uwanjani bila kuruka kwa Miezi 14 ambapo malimbikizo ya kodi na ushuru wa kuegesha ndege ulifikia Dola za Marekani million 4 ($4 million)

Ndege hii ilikuwa ni moja kati ya mbili zilizokuwa kwenye uwanja wa ndege wa Quatro de Fevereiro zikingoja kubadilishwa matumizi na shirika la IRS Airlines.

FBI namna wanavyo ielezea hiyo ndege wanasema "...ndege ilikuwa imepakwa rangi ya silver ikiwa na mistari ya rangi ya blue, nyeupe na nyekundu. "
Ndege hii ilikuwa kwenye orodha ya ndege za shirika kubwa la ndege, lakini mpaka wakati inaibiwa ilikuwa tayari imeshatolewa viti vya abiria na ilikuwa inaandaliwa kuwa ndege ya kubeba mafuta ya dizeli.
......................................................................

Inasadkika kwamba ulikuwa ni mida ya machweo, dakika kadhaa kabla Jua halijazama, kama saa Kumi na moja jioni kwa saa za Angola May 25, 2003, wanaume wawili waliingia ndani ya ndege. Mmoja alikuwa ni rubani wa Kimarekani na pia injinia wa ndege akiitwa Ben C. Padilla. Wa pili alikuwa, John M. Mutantu, ambaye aliajiriwa kutoka Congo kama fundi wa ndege. Hamna kati yao aliyekuwa na leseni ya kuendesha ndege hii ya Boeing 727.
Kwa kuongezea tu, wakati ndege hii ilipaswa kurushwa na marubani watatu , ndege hii ilirushwa na watu wawili tu.

Wanaume wote waliongia kwenye hii ndege walikuwa wakifanya kazi Angolan mechanics kwenye kuibadilisha ndege hii kuwa ya kubeba mafuta.

Inasadikiwa na Mamlaka za Marekani kuwa Padilla ndiye aliyekuwa akiongoza ndege hii. Mfanyakazi mmoja wa uwanja wa ndege aliwaambia maafisa wa CIA kwamba alimony mtu mmoja akiingia ndani ya ndege hiyo.
Maafisa wengine walisema waliwaona watu wawili wakipanda ndege hiyo kabla ya tukio kutokea.

Ndege ilianza kujiburuza taratibu kiujanja ujanja bila ya kufanya mawasiliano yoyote na mnara wa kuongozea ndege. Maafisa wawili wa mnara wa kuongozea ndege walipoona ndege hii ikiikaribia runway, wakajaribu kufanya mawasiliano na marubani walioluwa wakiindesha ndege hii bila mafanikio yoyote. Ndege ikaingia kwenye runway bila ruhusa ya wanaoongoza ndege kwenye mnara.

Bila kuwasha taa, ndege ilipaa, kuelekea kusini magharibi ikipita juu ya Bahari ya Atlantic kabla ya kutokomea kusikojulikana hadi leo. Ndege ilijazwa mafuta 53,000 litres (14,000 US gal) ambayo yangeweza kuifikisha ndege Umbali wa 2,400 kilometres (1,500 mi; 1,300 nmi).

Tangu iliporuka, ndege hii haijawahi kuonekana, Wala marubani waliokuwa wakiindesha hawajawahi kuonekana popote, na hata mabaki ya ndege hii hayajawahi kuonwa mahali Popote, sio Baharini wala nchi kavu.

Dada yake Padilla, Benita Padilla-Kirkland, aliliambia Gazeti la South Florida Sun-Sentinel mwaka 2004 kwamba familia two inahisi kwamba kaka yao aliigonga ndege hiyo mahali huko Afrika. Kitu ambacho rais wa kampuni ya Aerospace Sales & Leasing bwana Maury Joseph, ambaye aliikagua ndege wiki mbili kabla haijapotea anakubaliana nacho.

Hata hivyo mamlaka za United States zinamshuku bwana Joseph kutokana na historia yake ya kujihusisha na maswali ya uhalifu wa fedha, na wanashuku kuwa aliitumia kampuni take nyingine kwenye kuiba ndege hii.

Mwezi July 2003, taarifa za kuonekana kwa ndege hii, zilisikika Conakry, Guinea; lakini zilikanushwa na United States Department of State.
 
Sipati picha Air Tanzania kuibiwa kutokana na malimbikizo ya madeni.

Nadhani atatafuta yule bibi wa babati, aliogombezwa kidogo tu na konda akakasirika mpaka bus likagoma kuwaka, sukuma sukuma na wewe, piga staster starter na wewe mpaka battery low na self ikataka kufa, fungua engine gear box mpaka sight-mirro na end-cator. Ngoma bila bila, chuma ikagoma.

Alipoombwa msamaha kisawasawa na - abiria wote/dereva/konda/police/wapiga debe/mama ntilie/machinga - bibi hasira zikaisha na hali ndio ikawashwari, safari ikaendelea.
 
Nadhani atatafuta yule bibi wa babati, aliogombezwa na konda akakasirika mpaka bus likagoma kuwaka, sukuma sukuma na wewe, ngoma ikagoma. Alipoombwa msamaha na - abiria wote/dereva/konda/police - bibi hasira zikaisha na hali ndio ikawashwari, safari ikaendelea.

Muda Wote unaiwazia nchi yakI mabaya
 
Sipati picha Air Tanzania kuibiwa kutokana na malimbikizo ya madeni.

Nadhani atatafuta yule bibi wa babati, aliogombezwa kidogo tu na konda akakasirika mpaka bus likagoma kuwaka, sukuma sukuma na wewe, piga staster starter na wewe mpaka battery low na self ikataka kufa, fungua engine gear box mpaka sight-mirro na end-cator. Ngoma bila bila, chuma ikagoma.

Alipoombwa msamaha kisawasawa na - abiria wote/dereva/konda/police/wapiga debe/mama ntilie/machinga - bibi hasira zikaisha na hali ndio ikawashwari, safari ikaendelea.
End- cator❌
Indicator ✔️
 
images.jpeg
 
Ilikuwa Siku ya Jumapili ya tarehe 25 May 2003, ndege aina ya Boeing 727, iliyosajiliwa kwa namba N844AA, iliibiwa kwenye bwana wa ndege wa Quatro de Fevereiro Airport, Luanda, Angola.

Kupotea law ndege hii kulipelekea msako mkali duniani kote huku ukiongozwa na shirika la upelelezi la Marekani United States' Federal Bureau of Investigation (FBI) Pamoja na shirika la Central Intelligence Agency(CIA).

Msako mkali umeendelea kwa miaka 17 sasa lakini ndege hiyo bado haijaonekana hadi leo.

Ndege hiyo Boeing 727-223 ilitengenezwa mwaka 1975 na kwa miaka 25 ilikuwa ikitumiwa na shirika la ndege la Marekani la American Airlines . Mmiliki wa mwisho wa ndege hii inaripotiwa kuwa ilikuwa ni kampuni venue makazi yake kwenye mji wa Miami, Aerospace Sales & Leasing na waliikodisha ndege hiyo kwa TAAG Angola Airlines ambapo waliiacha tu hapo uwanjani bila kuruka kwa Miezi 14 ambapo malimbikizo ya kodi na ushuru wa kuegesha ndege ulifikia Dola za Marekani million 4 ($4 million)

Ndege hii ilikuwa ni moja kati ya mbili zilizokuwa kwenye uwanja wa ndege wa Quatro de Fevereiro zikingoja kubadilishwa matumizi na shirika la IRS Airlines.

FBI namna wanavyo ielezea hiyo ndege wanasema "...ndege ilikuwa imepakwa rangi ya silver ikiwa na mistari ya rangi ya blue, nyeupe na nyekundu. "
Ndege hii ilikuwa kwenye orodha ya ndege za shirika kubwa la ndege, lakini mpaka wakati inaibiwa ilikuwa tayari imeshatolewa viti vya abiria na ilikuwa inaandaliwa kuwa ndege ya kubeba mafuta ya dizeli.
......................................................................

Inasadkika kwamba ulikuwa ni mida ya machweo, dakika kadhaa kabla Jua halijazama, kama saa Kumi na moja jioni kwa saa za Angola May 25, 2003, wanaume wawili waliingia ndani ya ndege. Mmoja alikuwa ni rubani wa Kimarekani na pia injinia wa ndege akiitwa Ben C. Padilla. Wa pili alikuwa, John M. Mutantu, ambaye aliajiriwa kutoka Congo kama fundi wa ndege. Hamna kati yao aliyekuwa na leseni ya kuendesha ndege hii ya Boeing 727.
Kwa kuongezea tu, wakati ndege hii ilipaswa kurushwa na marubani watatu , ndege hii ilirushwa na watu wawili tu.

Wanaume wote waliongia kwenye hii ndege walikuwa wakifanya kazi Angolan mechanics kwenye kuibadilisha ndege hii kuwa ya kubeba mafuta.

Inasadikiwa na Mamlaka za Marekani kuwa Padilla ndiye aliyekuwa akiongoza ndege hii. Mfanyakazi mmoja wa uwanja wa ndege aliwaambia maafisa wa CIA kwamba alimony mtu mmoja akiingia ndani ya ndege hiyo.
Maafisa wengine walisema waliwaona watu wawili wakipanda ndege hiyo kabla ya tukio kutokea.

Ndege ilianza kujiburuza taratibu kiujanja ujanja bila ya kufanya mawasiliano yoyote na mnara wa kuongozea ndege. Maafisa wawili wa mnara wa kuongozea ndege walipoona ndege hii ikiikaribia runway, wakajaribu kufanya mawasiliano na marubani walioluwa wakiindesha ndege hii bila mafanikio yoyote. Ndege ikaingia kwenye runway bila ruhusa ya wanaoongoza ndege kwenye mnara.

Bila kuwasha taa, ndege ilipaa, kuelekea kusini magharibi ikipita juu ya Bahari ya Atlantic kabla ya kutokomea kusikojulikana hadi leo. Ndege ilijazwa mafuta 53,000 litres (14,000 US gal) ambayo yangeweza kuifikisha ndege Umbali wa 2,400 kilometres (1,500 mi; 1,300 nmi).

Tangu iliporuka, ndege hii haijawahi kuonekana, Wala marubani waliokuwa wakiindesha hawajawahi kuonekana popote, na hata mabaki ya ndege hii hayajawahi kuonwa mahali Popote, sio Baharini wala nchi kavu.

Dada yake Padilla, Benita Padilla-Kirkland, aliliambia Gazeti la South Florida Sun-Sentinel mwaka 2004 kwamba familia two inahisi kwamba kaka yao aliigonga ndege hiyo mahali huko Afrika. Kitu ambacho rais wa kampuni ya Aerospace Sales & Leasing bwana Maury Joseph, ambaye aliikagua ndege wiki mbili kabla haijapotea anakubaliana nacho.

Hata hivyo mamlaka za United States zinamshuku bwana Joseph kutokana na historia yake ya kujihusisha na maswali ya uhalifu wa fedha, na wanashuku kuwa aliitumia kampuni take nyingine kwenye kuiba ndege hii.

Mwezi July 2003, taarifa za kuonekana kwa ndege hii, zilisikika Conakry, Guinea; lakini zilikanushwa na United States Department of State.
Wauza spea used za ndege wameshaikatakata .
 
Hivi na teknolojia hii yote rada zote hizi kila nchi inakuwaje dubwasha kama la 727 lisijulikane lilipoelekea?! Ina maana hata kwenye rada ilishindwa kufuatiliwa na kujulikana hatua ya mwisho ilipopotelea?
 
Back
Top Bottom