brazil

  1. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Brazil kuanza kulipa sawa kati ya wanasoka Wanaume na Wanawake

    Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nchini, Brazil limetangaza sera mpya ya malipo na posho kwa wanasoka Wanawake na Wanaume Sera hiyo itafawanya wanasoka Wanawake na Wanaume wawe wanalipwa kiwango sawa. CBF, imeeleza kuwa Wachezaji wa Timu za Taifa(Wanaume na Wanawake) za Brazil kwa ngazi zote...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Marekani: Brazil itakabiliana na hatari iwapo itaruhusu Huawei kujenga 5G

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil. Balozi wa Marekani nchini Brazil ameionya nchi hiyo kua itakabiliwa na hatari iwapo itairuhusu kampuni ya Huawei kujenga mitambo...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro atangaza kupata Corona

    Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo Bolsonaro amekuwa mara kwa mara akipuuza ugonjwa huo huku akiuita ni mafua madogo ya kawaida na...
  4. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Brazil yamuamuru Rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa. Atakiwa kuheshimu sheria za nchi

    Habari! Kutokana na kushamiri ama kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil, Mahakama nchini humo imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kuvaa barakoa ya kinga la sivyo 'kukiona cha mtema kuni'. Jair Messias Bolsonaro. Taarifa kamili: Katika uamuzi uliotolewa...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukaidi wa viongozi wa Brazil wasababisha idadi ya waathirika wa Corona kukaribia milioni moja

    Viongozi wa Brazil walichukulia poa hiki kirusi, wakakaidi ushauri wa wataalam na kujichokea, leo idadi ya waathirika imegonga 960,309, ikizingatiwa hao ni waliopima ila kila mmoja wa hao inawezekana kaambukiza watano na hao watano kila mmoja ana watano wake, yaani mtandao balaa. Hiki kitu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Brazil yaamuru Serikali ifungue website ya Serikali na ichapishe taarifa za maambukizi ya Covid-19 kama yalivyokuwa yanatolewa

    Hii ni kutokana na serikali kuifunga website iliyokuwa ina report trend ya maambukizi ya coronavirus/covid-19. Mahakama imetoa hukumu kuwa kupata habari ni takwa la kikatiba na Rais asitumie ugonjwa wa covid-19 for political gain! Mh CJ Juma, umewasikia wenzako? ==== A Brazilian supreme...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Brazil yaondoa takwimu za jumla za Corona kwenye tovuti ya Serikali, itakuwa inatoa takwimu za siku pekee

    Brazil imeondoa takwimu za COVID19 kwenye tovuti ya Serikali. Wizara ya Afya imesema kuanzia sasa itakuwa inatoa takwimu za saa 24 na idadi ya jumla itaacha kutolewa Uamuzi wa kuondoa takwimu za jumla umepingwa vikali na wanahabari pamoja na Wabunge nchini humo Rais Jair Bolsonaro amesema...
  8. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  9. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Shirikisho la Brazil | República Federativa do Brasil

    | Jamhuri ya Shirikisho la Brazil, República Federativa do Brasil au Federative Republic of Brazil Ni taifa linalopatikana bara la Amerika ya Kusini, lenye ukubwa wa eneo zipatazo millioni 8,511,965 Km2 sawa na millioni 3,286,488 Square Mile's. Brazil iliyopakana na Argentina, Bolivia...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea vikwazo wanaotoka Brazil

    Katika juhudi za kupamba na mripuko wa #CoronaVirus rais wa Marekani Donald Trump amepiga marufuku wasafiri kutoka Brazil Afisa habari wa Ikulu ya Kayleigh McEnany amesema kuanzia Mei 28, watu wote wasio raia wa Marekani ambao wamekuwa nchini Brazil katika muda wa siku 14 zilizopita...
  11. jogi

    JamiiForums Tanzania Brazil hali si shwari.

    Kwa mujibu wa CNN hali ya maambukizi na vifo vinavyohusishwa na Corona inatisha. Ni ya pili baada ya marekani kwenye chati ya nchi zilizo na maambukizi mengi zaidi duniani. Hata hivyo Rais wao kama rais wa Tanzania ameyaita mafua yale kuwa ni vimafua tu! Bolsonaro calls coronavirus a 'little...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Brazil: Vifo vya COVID19 vyafikia 15,663

    Brazili ni kati ya nchi zilizopuuza kuchukua hatua za kujikinga na #CoronaVirus. Rais wa nchi hiyo aliwaambia wananchi kuwa #COVID19 ni mafua tu Vifo 816 viliripotiwa Mei 16 na kufanya idadi ya vifo nchini humo kufikia 15,663. Pia ina jumla ya visa 233,142 Kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil asema kufunga mji 'lockdown' ni kuua uchumi

    Rais wa Brazil, Jair Bolsonar amesema kufunga mji ni kuufanya uchumi ufeli kwa kuwa hawatakuwa na hela za kuwalipa watumishi wa umma Kwa muda mrefu rais wa Brazil amelaumiwa kwa kutochukua hatua ya kudhibiti #CoronaVirus kwa madai aliyosema kuwa ni mafua ya kawaida tu, aidha aliwahi kusema kila...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Brazil yarekodi vifo vipya 615 vya COVID-19, Msemaji wa Rais apata maambukizi

    Nchi hiyo imerekodi vifo vipya 615 na idado hiyo inakuwa kubwa zaidi kuripotiwa kwa siku moja. Waziri wa Afya, Nelso Teich amesema Serikali inaweza kuanza kuweka masharti ya kutotoka ndani katika maeneo yaliyoathirika zaidi Aidha, Msemaji wa Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro, Otavio Rego Barros...
  15. Mad Jaluo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

    Wanajamvi naomba maelekezo kidogo. Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje? Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu wawili na tunapita njia tu tukielekea Mexico kujaribu kuingia Marekani kisha Canada. Kwa anaejua...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa walioidharau Corona: Brazil nayo yakumbwa na maafa, sasa waanza kujutia

    Brazil ndani ya siku tano tu imepata waathirika wa #COVID19 10,500 na vifo 430 na kuwa taifa linaloongoza kwa maafa ya Corona ndani ya Latin America. Tutakumbuka kuwa Rais wa Brazil siku chache zilizopita alisema hawezi kuzuia watu wasichangamane ndani ya nchi yake eti kwa sababu ya Corona huku...
  17. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Brazilian President Bolsonaro rejects calls for Coronavirus lockdown, says 'we're all going to die one day'

    Brazilian President Jair Bolsonaro has repeatedly dismissed the coronavirus as a "little cold" and urged residents to keep the country's economy going, even going so far as to tell his supporters why he's against lockdown: "We're all going to die one day." Bolsonaro, who is often compared to...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 46 wafariki kafuatia maporomoko ya ardhi yalaiosababishwa ba mvua kali Brazil

    Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil. Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji: Safari toka Congo kupitia Brazil mpaka Canada kwa miguu

    Ungana nasi kwa kutazama video hii kufuatilia mguu kwa mguu toka wakiwasili jijini Sao Paolo Brazil wakijifanya raia wa Angola ktk utalii Brazil kisha wanaanza safari kwenda Canada. Safari hii ya 'Wakongomani' toka Congo na nchi za Maziwa Makuu pia Afrika ya Mashariki wanaoingia Brazil bila...
  20. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Ama kweli mpira wa miguu (kandanda) upo Brazil

    Dah kwa mechi ile ya jana ya FIFA CLUB WORLD CUP 2019, imeonesha kuwa brazil (america ya kusini) ndiyo kitovu , cha mpira wa kandanda aseee , dah jana nilicheki mpaka mwisho nkajisemea , ULAYA MPIRA WAO NI WA PESA TU , KWENDA KUCHUMA HELA .
Back
Top Bottom