brazil

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Brazil hatarini kupoteza haki ya kura baraza la umoja wa mataifa kutokana na ada ya uanachama

    Huenda Brazil ikapoteza haki ya kura katika baraza kuu la Umoja wa Mataifa kama itashindwa kulipa mchango wa lazima wa uanachama inayodaiwa kufikia mwishoni mwa mwaka. Brazil ipo hatarini kupoteza haki ya kura katika baraza kuu la Umoja wa Mataifa kama kufikia mwishoni mwa mwaka huu itashindwa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Brazil: Mama amuua mtoto wake kwa sababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi nane kwa kumuua makusudi mwanae wa kiume aliyefahamika kwa jina la Lozano (17) kisa ni shoga ambapo hakupendezwa na sexuality ya mwanae huyo. Awali, mwanamke huyo aliwakodi jamaa wawili kwa majina ya Victor da Silva na Miller da Silva Barissa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Brazil yanyakua kombe la dunia michuano ya wachezaji chini ya miaka 17

    Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali. Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil Gabriel Veron amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo wakati mchezaji Matheus Donelli wa Brazil...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Brazil washinda Kombe la Dunia U17

    Our team in the U17 World Cup: 7 matches 7 wins 19 goals scored 6 goals conceded Winners of the tournament and 100% in all competition. Great generation incoming🇧🇷 Reliquias Brasileiras🇧🇷 on Twitter
Back
Top Bottom