boss

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mzee aliye data wasira wauaji ni ma boss wako

    Mzee huyu inabidi apewe wana za kupunguza ukichaa wa uzeeni hayupo sawa kabisa. Yaani hata hajitambui kwa ukweli kwamba mauaji ya mwaka jana amri imetoka kwa boss wake
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania BARUA ZINATEMBEA HAPA OFSINI SIO POA, NIOMBEENI, BOSS ANADAI HALI MBAYA, SINA RAHA KABISA, SIKIENI TU, OMBENI YASIWAPATE

    Kama Kuna mtu Nisha mkosea, naomba nisamehewe, mana Kuna uwezekano nikawaangukia any time nipate pakujishikisha, wakuu samahan kama Nisha wahi kumkosea mtu humu, tusamehane sisi ni ndugu. Watu wanatakiwa wapunguzwe, acheni tu Zachariano alexido
  3. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UEDCL boss sacked!

    (Image courtesy of Daily Monitor) Government has effected sweeping leadership changes at the Uganda Electricity Distribution Company Limited (UEDCL), terminating the contract of Board Chairperson Lydia Ochieng-Obbo and sending Managing Director Paul Mwesigwa on forced leave as part of what...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa na kazini kwenu hakuna lunch wala hela ya usafiri, wewe na boss wako tafuteni kazi nyingine!

    Hii serikali unaguzi hauishi. Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto. Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara, mkuu wa section nk. Mahala pako na shida. Kama vipi tuwe tuna reshuffle. Si wengine ata kaunda suti...
  5. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu. Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu . Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila...
  6. M2flan

    JamiiForums Tanzania FRIDGE (aina ya Boss inauzwa Iringa)

    .
  7. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Boss kwezi Dalali mjanja

    Idara ya Masoko ya Boss Kwezi imeendelea kuwa mfano bora wa ubunifu, uthubutu na kasi katika kusambaza taarifa muhimu kwa wananchi wa Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ushindani wa masoko umeongezeka, timu hii imeonyesha kwamba mbali na kufanya kazi kwa weledi, imejitoa kuhakikisha kila...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Boss ondoka ulipo kwa utulivu na usalama wako ni ushauri tu nakupatia

    Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani. Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu kuiepuka kama inawezekana ni ushauri tu nakupatia. Boss wakikuonya huwa wana maanisha kuwa you are next...
  9. Isenye

    JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  10. Noel france

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya watanzania, Inatosha sasa! Yaliyosemwa na Dkt. Slaa na Polepole yanaumiza

    Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio. Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga mnishukuru sana mimi sio kama yule boss wa kinotibuku

    Yule boss wao kauziwa timu bilioni 20, badae akasema hatoi hiyo hela ila atanunua bonds za BOT na faida atakuwa anawapa, sahivi anasema alitumia bilioni 87 kununua boxer za kuvaa, mchicha na vitumbua kwaajili ya wachezaji. Sasa wenzenu wanadaiwa B 87 mimi siwadai wananchi hata 100 na nawaongeza...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  13. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture aina zote. Tupe oda boss tukutengenzee,,

    Wakuu Tunatengeneza furniture aina zote Showcase za kujengea na zakuhamishika. Makabati ya kujengea na yakawaida. Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika. Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
  14. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture aina zote. Tupe oda boss tukutengenzee

    Wakuu Tunatengeneza furniture aina zote Showcase za kujengea na zakuhamishika. Makabati ya kujengea na yakawaida. Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika. Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
  15. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture aina zote, tupe oda boss tukutengenzee

    Wakuu Tunatengeneza furniture aina zote Showcase za kujengea na zakuhamishika. Makabati ya kujengea na yakawaida. Kitchen cabinets za kujengea na zakuhamishika. Pia tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao
  16. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza vibanda vya restaurant, pub na vya kawaida karibu sana boss wangu

    Boss wangu Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti.. Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila mnahitaji kwa material ya mbao karibuni sana nipo dar ila Hadi mikoani tunafika na tunakutengenezea boss...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nikweli Boss amenuna? Ile press alifanya yanini sasa?

    Ifike mahali Mo Dewj aache ulimbukeni, utoto na upumbavu wake. Kama hatoi ushirikiano mfukuzeni na hakuna kumlipa hata 100, tangazeni nafasi kwa matajiri wasio na pesa za mawazo. Si unajua pesa za ukoo zinazoidhinishwa na shangazi mtu ni ngumu.
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Boss wa muhimili wa mahakama ni DPP ama Judge mkuu?

    Kuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora. Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na...
  19. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Wauzaji suruali aina ya boss kariakoo

    Habari wana jamii kama kichwa cha uzi kinavyojieleza kama kuna wafanyabiashara wa kariakoo mnaouza suruali za vitambaa aina ya boss naomba tufahamiane kwa lengo la kufanya biashara pm yangu iko wazi wakuu muda wowote
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama Kada Mwandamizi na Mwanadiplomasia nguli anaweza kumkosoa boss wake hadharani hivi, basi Rais amezungukwa na genge hatari sana la kisiasa

    Alianza yule spika wa mjengoni (Job) wengine wakadhani ni mzaha, sasa amekuja mzee-kijana wa Cuba (Mr. Slow) akapita mule mule. Wote hawakujali nafasi zao kisiasa wala ukubwa wa bosi wao, wameshusha mashambulizi mazito mnoo dhidi ya mama yetu mpendwa wakisema utawala wake umekosa mwelekeo na...
Back
Top Bottom