Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana,
maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea swala la utekaji,nazani utagundua hii inchi ina tatizo kubwa sana,na kwa nini watu wanan'ga'ngania madaraka?
 
CCM ingetumika busara mumsimamishe mgombea mwingine makini kwenye uchaguzi ujao wa Raisi.

Kiukweli Mama hakubaliki na hii itaipa nguvu kubwa sana upinzani kama ataendelea hadi 2030.
 
Mpina anaonekana kama gwajima kwa kifupi hawamtaki maana kule jwa kijani kumiliki akili ni kosa.
 
Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana,
maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea swala la utekaji,nazani utagundua hii inchi ina tatizo kubwa sana,na kwa nini watu wanan'ga'ngania madaraka
Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?

Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
 
Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?

Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Tunachojiuliza Rais samia hayaoni haya ya upigaji wa Mwigulu?mbona amekaa kimya,lakini juzi tu kuambia swala la utekaji kaja ju kama moto wa kifuu
 
Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?

Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Lile siyo bunge ni kikao cha ccm
 
Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?

Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Bunge lipi? Mbona mnajizima data humu ndani?
 
Huenda yuko kwenye Genge la Watekaji!?
Wale hawaguswi.
 
Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?

Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Unaota wewe!.Yaani bunge hilihili lililobariki bandari zetu kupewa wajomba ndo limuwajibishe mwigulu!
 
Kwamba mpina akisimama jukwaani akalalamika hapati choo inamlazimu Raisi amwajibishe waziri wa afya!! ? 😆
 
Unataka amtoe halafu ampeleke wapi, na wakati wote wako kundi moja! Huku rimoti ikijulikana iko kule wapi sijui alikoimba Roma Mkatoliki.
 
Bunge lipi? Acha uzwazwa
Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?

Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
 
Halafu bado anawaza Kuja Kuwa Rais siku za Mbeleni kwa dili zote izo, The State jamani pambaneni Wakuu wa Nchi wawe clean sana Mana wana serve interest za Taifa na Vizazi Vijavyo na hawana haja ya Kuwa Wachafu kwasababu at that level watahudumiwa na Kodi zetu mpaka wafe
 
CCM ingetumika busara mumsimamishe mgombea mwingine makini kwenye uchaguzi ujao wa Raisi.

Kiukweli Mama hakubaliki na hii itaipa nguvu kubwa sana upinzani kama ataendelea hadi 2030.
Inabidi wafanye hivo..Samia hana kibali ata akilazimisha hatoweza kutawala civil disobedience atakayoipata itakua sio ya kitoto.Nchi imemkataa anatakiwa aelewe hilo.CCM muwaze kwa kina sana..huyu mama mnaend kumpa wakat mgumu sana
 
Mshangazi umeelemewa na haujui hata nchi zinaongozwaje maana wajanja wamelitia ndimu linakazi limepagawa kama zimwi la jangwani. Limepagawa linakamata na kuua raia wema utafikiri limewahi kuumba hata mbwa Koko. Utakufa vibaya sana jimama la kuvaa sanda kichwani
 
Back
Top Bottom