boss

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kitanzania siku hizi wanamwita Zari the boss lady "Bibi Tukinao"?

    Halo JF celebrities. Nimekuwa nikiona mitandaoni, Zari The Boss Lady akiitwa Bi Tukinao! Wanaomwita hivyo ni wanawake. Sasa hili jina maana yake nini na kwanini kabatizwa hivyo?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

    Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa nimemuunga mkono kwa asilimia 100 Na hii imekuja baada ya tetesi ya yeye kurudiana na diamond lakini pia kwa...
  3. Tetramelyz

    JamiiForums Tanzania Unapomsalimia boss wako usisahau kunsalimia aliye pembeni yake. Maisha yanabadilika

  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tuzae wakati hali yangu bado ngumu

    Wadau nipeni ushauri Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother. Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
  5. Display Name

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

    Leo tarehe 9 May ni siku kubwa ya kuzaliwa mtu anayewezesha uwepo wetu humu. Maxence Melo Tunapata nafasi ya kufanya yote kwa kuwa amesimama na kutupatia uhuru wa kutoa yetu ya moyoni. Tunakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania na uzidi kutupigania sisi na Uhuru wetu wa kujieleza...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Outrage As Saudi Arabia Executes Indonesian Maid For Killing Boss While He Was Raping Her

    An Indonesian maid identified as Tuti Tursilawati has been executed in Saudi Arabia for killing her boss while he was raping her. Mum-of-one, Tuti Tursilawati was executed after she killed her boss who was raping her, and this sparked outrage in Jakarta. Tuti Tursilawati was killed on Monday...
  7. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Mo kuhusu uamuzi wake jana nimemuelewa, hata mimi hasira zikizidi nalipuka

    Mengine yanaumiza hayasemeki. Nafurahi kuona boss Mo is back na amekiri yaliotokea jana n bahati mbaya yameisha back to league. Yule ni mtu mzima ana moyo wa binadamu jamani; hana moyo wa plastick. Majuzi tu bilioni nne zimekwenda lazima aumie. Naomba niseme kwa maneno haya hajakana kujiuzulu...
  8. Degelingi_One

    JamiiForums Tanzania Harmonize: A request of a boss is an order

    Wana JF Heri ya mwaka mpya. Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba. Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii huyo alisikika akisema Mwakani atafungua radio station "Tandahimba FM". Atakuwa mwenyekiti wa timu...
  9. Lancashire

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora. Karibuni kwa maoni yenu. ====
Back
Top Bottom