Hell
Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti
Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia rudi nyumbani mpaka nitakapo kupigia mimi simu tena hapo ana taka uende ofisini kwake uka mlambe miguu...
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani 800 na makombora ya baharini 13 ambayo yamepiga miji mbali mbali.
Haya yanajiri baada ya rais wa...
Salute kwenu Wana Lunyasi!
Niende kwenye Mada,
Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni.
Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
Naanza kutengeneza conspiracy theory, tunaamini Rais ndio Kiongozi Mkuu kabisa wa nchi, ambaye anapewa madaraka na wananchi. Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake.
Hii inamaana Samia amepewa...
David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi:
1. MAELEZO YA JUMLA:
Jina kamili: David (Dave) Barnea
Tarehe ya kuzaliwa: 1965
Nchi: Israel
Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa)
2. ELIMU:
Alisoma...
Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
Siku nikiwa boss, nitakumbuka kuwa watu wana maisha nje ya ofisi, nitajua kuwa mfanyakazi mwenye huzuni hawezi kutoa furaha kazini.
Siku nikiwa boss, sitaamini kuwa vitisho huongeza tija, badala yake, nitawaongoza kwa kuhamasisha na kusikiliza.
Siku nikiwa boss, nitajenga mazingira ya kazi...
Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili!
Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje...
Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana,
maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme,
Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile,
kufika tu napaki chuma nashangaa,
Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha...
"Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
Habari zetu wakubwa.
Mimi nipo Naishi Dar es salaam.
Nisaidieni connection ya udereva hata kumuendesha mtu binafsi ni Sawa bila shaka.
Naweza kuendesha Manual na Automatic.
Lessen yangu ni daraja A,D,E na nilipita VETA yaani cheni cha udereva ninacho lakini ni basic driving.
Nilijiunga mafunzo...
Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili
Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio sahihi
Sasa Basi Kuna watu hawafai kabisa kufanya kazi chini yao labda uwe hauna jinsi naa hata Kama...
Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa.
Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni mla ugali wa muhogo na dagaa daily ambaye mshahara wa mwezi uliopita bado anao na posho ya week...
Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli.
Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi?
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Je...
Pampu ni Ya Inchi 3
Haijawahi kutumika nilinunua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji lakini mipango ya kilimo haikwenda sawa. Pampu haijatumika kabisa.
Bei 200000/=
Location: Ubungo-Dar Es Salaam
0779080365
Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa agizi Hennessy wanasema “naomba konyagi ndogo” au “na mimi K-Vant”
Kila mtu akiwa ana nufaika kwa namna...
Wakuu, kwenye haya maisha bana kuna changamoto nyingi sana.
Kipindi flani kama miaka 4 nyuma huko nilikua nafanya kazi kampuni flani,basi bana nadhani yule boss damu zetu hazikuendana,akanifanyia figisu nikafukuzwa kazi.maisha yakaendelea nikapata ramani kwenye kampuni nyingine, sasa yule boss...
Hizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu
Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale
na pia inachangia mwendo kasi sana kwa haya ma TATA
kama mnakumbuka kuna lile lilidondoka juu kwenye fly over
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.