Aina ya maboss na changamoto zao boss wako yupo vipi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,961
Reaction score
67,517
Hell

Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti

Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia rudi nyumbani mpaka nitakapo kupigia mimi simu tena hapo ana taka uende ofisini kwake uka mlambe miguu mnyakyusa

Boss wa pili: alikuwa wakike tena huyu alikuwa ana toa kazi kwa machawa wake yaani kuna kazi ya mkoa ina takiwa mtu aende basi ana wapa chawa wake ila tuliishi nae ivyo ivyo huyu mgogo

Boss wa tatu: alikuwa wakike huyu alikuwa ataki shobo ila ana gawa pesa hatari achagui isipokuwa kero ni mashauzi alikuwa pisi sana ila mashauzi mengi sana huyu ni mnyaturu

Boss wa nne: huyu alikuwa ni kama mlezi ni mama wa makamo alikuwa mcheshi sana tena humble uki mfurahisha ana kupa pesa ila sasa huyu shida alikuwa ana taka uwe una sema madhaifu ya wenzako huyu ni muhehe

Boss wa tano : huyu alikuwa wakiume yeye hana maneno sana ila pesa ana toa ila ili muive na ule pesa yake sana lazima uwe una mpelekea umbea taarifa za matukio yoote yalio tokea huyu mngoni

Boss wa sita : wakiume pia huyu alikuwa mzungu sana up now tuna wasiliana vyema huyu alikuwa ataki umbea ila ana penda mtu muwazi sana kwahiyo tukawa tuna piga sana story tofauti na wengine huyu ulikuwa na uwezo wa kumuambia hapana au uka mkosoa na ukimwambia now nimechoka naomba niifanye hii kazi kesho kama haina haraka alikuwa muelewa huyu ni mnyakyusa

Boss wa saba : huyu sio muongeaji ata ukimkosea hakuambii wewe ndio ujiongeeze kusema hapa nimekosea samahan ana kuelewa maisha yana endelea pia ni muungwana sana hana shida kabisa huyu ni mgoni
 
Wanyaturu nao wameanza kuwa mabosi!?🙌🙌🙌😂😂
 
Boss wangu wa zamani alikua humble na mtu mwenye empathy ila ni mbadilikaji dakika mbili.
Hapendi umbea na hapendi kuongea sana anapenda vitendo.
Ila shida ili uonekane una faida kwake na ufaidi pesa zake uwe ni mtu wa kumpa mawazo tofauti ya kimaendeleo kuhusu kazi husika.
Tabu yake nyingine mbishi sana,kile anachosema yeye anataka kionekane sahihi hataki umbishie wala umpe maelezo.
Mie mwenyewe jeuri hapo tulishindwana maana mie kufokewa sitaki naweza hata kukufokea bosi.
 
Hell

Katika maisha tumepitia mengi sana na kukutana na watu tofauti

Boss wangu wa kwanza alikuwa wakike huyu alikuwa mkali sana ukikosea kidogo ana kusema mbele za watu akimaliza ana kuambia rudi nyumbani mpaka nitakapo kupigia mimi simu tena hapo ana taka uende ofisini kwake uka mlambe miguu mnyakyusa

Boss wa pili: alikuwa wakike tena huyu alikuwa ana toa kazi kwa machawa wake yaani kuna kazi ya mkoa ina takiwa mtu aende basi ana wapa chawa wake ila tuliishi nae ivyo ivyo huyu mgogo

Boss wa tatu: alikuwa wakike huyu alikuwa ataki shobo ila ana gawa pesa hatari achagui isipokuwa kero ni mashauzi alikuwa pisi sana ila mashauzi mengi sana huyu ni mnyaturu

Boss wa nne: huyu alikuwa ni kama mlezi ni mama wa makamo alikuwa mcheshi sana tena humble uki mfurahisha ana kupa pesa ila sasa huyu shida alikuwa ana taka uwe una sema madhaifu ya wenzako huyu ni muhehe

Boss wa tano : huyu alikuwa wakiume yeye hana maneno sana ila pesa ana toa ila ili muive na ule pesa yake sana lazima uwe una mpelekea umbea taarifa za matukio yoote yalio tokea huyu mngoni

Boss wa sita : wakiume pia huyu alikuwa mzungu sana up now tuna wasiliana vyema huyu alikuwa ataki umbea ila ana penda mtu muwazi sana kwahiyo tukawa tuna piga sana story tofauti na wengine huyu ulikuwa na uwezo wa kumuambia hapana au uka mkosoa na ukimwambia now nimechoka naomba niifanye hii kazi kesho kama haina haraka alikuwa muelewa huyu ni mnyakyusa

Boss wa saba : huyu sio muongeaji ata ukimkosea hakuambii wewe ndio ujiongeeze kusema hapa nimekosea samahan ana kuelewa maisha yana endelea pia ni muungwana sana hana shida kabisa huyu ni mgoni
Yuko friendly sana. No more comment
 
Boss wangu wa zamani alikuwa ni mtu wa kusikiliza sana maneno ya watu kwa vile yeye pia ni mpenda umbea, kwahiyo watu wakikukandia utafukuzwa kazi.

Huyu mwingine yeye unaweza ukawa umeshafanya kazi zako akikukuta umerelax ataanza kutafuta kitu cheese kasoro ilimradi uinuke ukakishughulikie
 
Back
Top Bottom