boss

  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
  2. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Car4Sale NISSAN SERENA. Bei 4.5 boss asigushwe haina changamoto njoo washa na kuondokà... 0712378559

  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Dr Mollel anafaa kuwa Boss UNICEF HQ

    Mheshimiwa Msomi Dr Mollel, G (DDS)anafaa kuongoza taasisi ya umoja wa Mataifa kuhusu watoto (UNICEF). Kama Taifa tumpe support stahiki.
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  6. Tanki

    JamiiForums Tanzania ( PICHA ) Friji aina ya BOSS mpyaaa inauzwa

    Tangu itoke dukani Ina miezi minne. Na imekuwa ikitumika nyumbani. Haina hata mkwaruzo. Haina kipengere chochote. Ni milango miwili, Inapooza na kugandisha Bei 300,000 Contact : 0785214599 ( Dar es salaam - Kigogo round about )
  7. kuntakinte9320

    JamiiForums Tanzania Nauza redio yangu Boss 180 iko Chamazi

    Nuza redio yangu aina ya BOSS mali halali iko chamazi piga simu 0711427984
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

    Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa. Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

    Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka. Chanzo: mwanaspoti_tz
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Boss much

    Mada aborted. Reason: self cencorship na imekosa viwango
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kila mnyonge ana mnyonge wake

    Picha linaanza bhana Baada ya boss KUMFOKEA manager Manager naye Anaona isiwe kinyonge anashuka kwa MA-operator anaowasimamia anaanza KUMFOKEA operator mmoja wapo! Operator anafanya kazi huku anajaziba ya kufokewa na manager Operator anarudi na hasira nyumbani na kilo za nyama wife akampikie...
  12. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Boss wa Uber/bolt

    Habari wakuu, Baada ya kuleta uzi WA kuuza nyumba hapa Na wengi wenu kunishauri nisiuze kiufupi nimepokea ushauri wenu ndugu zangu. Ombi langu ni hili kwenu naomba MTU yeyote mwenye Gari ambayo anataka kuifanya Uber basi anitafute huyo atakuwa boss wangu. Malipo Ni kila wiki Na ni makubaliano...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya Mademu wa Kibongo wanaopishana Kutwa pale Kwake Palm Village na huyu Mwingine Stress za Kushea Mrembo na Boss nilijua tu yatawakuta

    Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex. Chanzo Taarifa: manaratv Yaani Mademu wa Kibongo hasa wa Tabata na Sinza wakujue ni Star halafu una Hela wakuache...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kisiasa ndîo huomba Kibali Kwa Polisi. Maandamano ya wananchi hayaombagi Kibali Kwa Polisi au serikali. Boss haombi Kibali Kwa mtumishi.

    MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
  15. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

    Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa. Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye...
  17. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Fridge

    Halina shida yoyote ni 100% Msasani bei ni fixed 380k aipungui, hivo hakuna maongezi please🙏 +255685909105
  18. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

    Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
  19. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Boss kaniomba msamaha kaniambia "l'm sorry you can't continue work with us" Kwisha!

    Habari za mchana huu. Leo nimeshangaa sana Yani boss aniombe msamaha kumbe ana jambo lake haya maisha.
  20. Mi mi

    JamiiForums Tanzania France-Albert René maarufu kama The Boss

    France-Albert René maarufu kama The Boss. Alikuwa Rais wa pili wa visiwa vya[nchi ya] Seychelles aliyehudumu katika uongozi wake toka mwaka 1977 mpaka 2004. Aliitwaa nafasi hiyo kupitia mapinduzi yaliyofanyika 1977 yaliyofadhiliwa na nchi ya Tanzania. Chini ya uongozi wake Seychelles iliweza...
Back
Top Bottom