Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi akili!
Yanga wamekubali kupeleka na kuingiza timu uwanjani huku wakifanya maandalizi ya mechi nje ya uwanja Kwa ustadi mkubwa na Kwa kushirikisha watu wazito wa serikali! Hofu yao ni kukwepa aibu,migogoro na kupoteza ubingwa!
Miongoni mwa sharti walilolitoa Kwa wenye mamlaka ni simba isiende kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi!
KARIBUNI KWA MKAPA HATOKI MTU