Nikweli Boss amenuna? Ile press alifanya yanini sasa?

Nikweli Boss amenuna? Ile press alifanya yanini sasa?

Hiyo mikataba inayovunjwa kwa wachezaji kuondoka unalipa were

Safari hii file la usajili Simba alijavuja wachambusi uchwara waangaika
 
Mimi niliwaambia na naawambia kila siku kama Kuna dume la mbegu Lina bilioni 100 liende Dubai likaonane na dewji amuachie timu ..tofaut na hapo watu watulize mapumbu
Hapo mwisho umeandika "hashua" au "vifuko vya kutunza unga wa mihogo"!?🫸🫷😝😝😝😝
 
Watanzania wanateswa na mapenzi SANA mara RAIS WA nchi haeleweki .mara KLABU nazenyewe hazieleweki ni SHIDA tupuuu . SA mo Atalipwa na nani SASA SI wenyewe tuna SHIDA zetu


Kwishaaaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Kwamba ameweka bilioni 100 Simba?
Narudia,,,kama Kuna dume la mbegu Lina bilioni 107 Tsh liende likaonane na Mo akiwa dubei ..Yani wakianza kuongea amwekee mezani cheki ya bilioni 107 ndio waanza mazungumzo...tofaut na hapo watu watulize makalio watulie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom