bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Edouard Mendy vs Mohamed Salah Mchezaji bora wa Mwaka Afrika nan anastahili?

    NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
  2. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021. Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bora kunywa gongo na viroba kuliko ushabiki wa mpira madhara ni makubwa zaidi

    Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA) Umesababisha uvivu uliokithiri hasa mikoa ya pwani na baadhi ya miji ya mikoani Umesababisha wanafunzi, watoto wadogo kuanzia...
  4. JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    UTANGULIZI: Nimiaka zaidi ya arobaini (40) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7, Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kutolea mifano ligi yetu na Ligi 5 bora duniani ni kuoneana

    Katika pitapita zangu kwenye live score nkakutana na mechi za ligi kuu ya Congo league 1. Nlichokutana nacho naona ni vichekeshi kuliko hata kwenye ligi yetu, kama inavyoonesha hapo katika msimamo, kunatimu ishacheza mechi saba nyingine ndo kwanza inamechi tatu. Hizi ndo leveal zetu sasa mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

    Shaloom wakuu, Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's ambapo walianza kuibuka waimbaji wa kujitegemea wa nyimbo za injili na kwa wingi wao imepelekea...
  7. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Adiuta Biz Assistant - Programu ya Usimamizi wa Biashara zako

    Maelezo Kwa Kiswahili Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu. Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za biashara yako kwa kukuwezesha kujua mapato, matumizi, mali na madeni ya biashara yako. Iwe ni...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kazi za TRA ni bora sanaa kimaslahi?

    Wajumbe salamaaa. Ni yuleyule Mr. Liverpool nikireport kutoka Anfield chini ya Mzee Klop..!! Ngoja niingie kwenye mada. Tarehe 22/10 TRA kupitia Sekretarieti ya ajira ili tangaza nafasi za ajira kibao. Lile Tangazo bana likafika Ofisini..!! Mimi ni mfanyakazi wa halmashauri fulani humu...
  9. JamiiForums Tanzania Spirit bora zisizo na harufu baada ya kutumia

    1. Valeur(valuu) hii ni ni chaguo langu ila shida koo kukauka usiku. 2. Smartgin hii ni nzuri sana hata ukinywa kavu haina shida,kasoro tu chipa yake ni plastiki. 3. Kiwingu hii naipitisha kwa 80% sababu haina harufu,hata uchanganye na safari lager asubuhi unaamka kama ulilalia maji ya bomba...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi bora UDSM ametuokoa wanaume anaitwa TITO ana GPA ya 4.8 net bila nyongeza

    Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,. Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu. --- Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM Tito...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua umuhimu wa lishe bora katika makuzi ya watoto?

    Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto. Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

    Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku. Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo. Nimetumia sendwave...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mayele, Djuma Shaban ni magarasa kule Congo; kikosi bora cha ligi yao hiki hapa

    Ukiakaa ukiwasikiliza Utopwinyo wakielezea jinsi Juma shaban alivyo beki bora kutokea ligi ya congo au ukamsikia MSUKULE lopolopo linavyomuelezea kama una akili za kiutopwingo utawaamini. Anyway ogopa sana matapeli hiki hapa kikosi bora cha ligi ya congo msimu uliopita na wachezaji bora maana...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Bora uuze mayai au uuze utu wako kwa waajiri?

    Vijana mnalochaguo moja tu Tanzania. Aidha, ujiajiri ubaki kusimamia unachoamini kwa utashi wako Ni sahihi au uajiriwe uelekzwe nini uamini na kutenda. Awali tumejionea vijana wasio na miradi yakueleweka walivyonyanyaswa. Na kundi hili kwa kuona aibu kila likisikia njaa likiwa upande mmoja...
  15. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na malaria test kit, ni bora mafundi maabara watumie hadubini kama zamani

    Zaidi ya mara nne naenda kupima naambiawa hakuna malaria. Nikiangalia mwili wangu upo hoi na hauna nguvu, watu wa hospital Hai wanapima kwa kutumia Malaria test Kit. Mbona hawatumii darubini kama zamani? Maana matokeo yanazingua jamani, mtu unaumwa alafu unaambiwa hauumwi.
  16. JamiiForums Tanzania Je, ukibahatika kuwa Rais wa Tanzania unatakiwa Uwaongoze Watanzania katika Mfumo gani Bora kati ya hii ifuatayo?

    1. Kwa Kufuata Katiba? 2. Kwa Nidhamu na Utu? 3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB? 4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto? 5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki? 6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi? 7. Kwa Jicho la Huruma la Wine? Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
  17. JamiiForums Tanzania Ni bora kuishi maskini Karne hii nakuendelea kuliko walioishi enzi hakuna umeme kimsingi Mungu katupendelea sisi

    Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi? Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi tunaleta ubaguzi kuonesha fulani ni Rais bora kuliko mwingine, tujirekebishe

    Heshima zinazotolewa kwa viongozi wakuu wa Taifa letu waliotangulia mbele ya haki zinataka kutujengea taswira kwamba flani ni muhimu kuliko flani Jambo ambalo hatukuliona walipokuwa hai. Namna tulivyoziandaa nyumba zao za kudumu Kuna utofauti mkubwa Sana, namna tunavyowazungumzia upo utofauti...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

    Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…