bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Azathioprine

    JamiiForums Tanzania SoC01 Thamani ya Huduma Bora za Uzazi wa Mpango Katika Uwezeshaji Wanawake Kielimu na Kiuchumi

    UTANGULIZI: Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
  2. May Day

    JamiiForums Tanzania Kipi bora, upate Mwenza 'mwingi' lakini anakujali, mnasikilizana, anakuheshimu au Mwenza Mtiifu lakini amezubaa, kisirani

    Wengine huita 'mood swing' Kwa watu wazima wote nadhani tayari tuna uzoefu wa kuishi Wawili chini ya paa moja kwa muda, kama wenza, Mke na Mume, huku wote mmekutana mkiwa na historia tofauti za kimalezi. Sasa je, kipi bora kati ya Watu wa aina hizo mbili. Yaani Mwenza wa kujichanganya sana na...
  3. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, Waziri bora na wa mfano

    Ni mnyenyekevu Msomi Hajikwezi Mchapakazi. Anayebisha asikilize kipindi cha dk.45 ITV na radio one leo hii.
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna bora ya Waajiri kuwakomboa Watumishi wao na kadhia ya madeni katika Taasisi za Kifedha

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo. Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora za kutokomeza uvutaji wa bangi nchini Tanzania

    Ukipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na katika miji mingine mikubwa, aghalabu utawakuta vijana na baadhi ya watu wazima wamekaa katika makundi wakivuta bangi na kutumia dawa nyingine za kulevya bila wasiwasi wowote. Hili hutokea zaidi nyakati za jioni na usiku lakini pia sio...
  6. Mockingbird

    JamiiForums Tanzania Upi mkoa bora kuanza maisha?

    Nimejikusanya nimepata kalaki moja nataka nijilipue nitok nyumbani niende kusaka lif kivyangu. Nipeni muongoz kati ya Mbeya, Mwanza na morogoro upi mkoa rafiki kwa mtu anayeanza chini kabisa. Naenda kufanya kazi yoyote tu Chakla Makaz Biashara Nk
  7. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Nyungu ni bora zaidi ya hizo chanjo tunazoletewa

    Hivi hizo chanjo dozi million (1) ambazo wameleta kuwafanyia watanzania (wananchi ) majaribio wakati sisi tupo zaid ya 50 milion ma zaidi na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine bora zaidi za kusaga nafaka?

    Habari zas sasa, Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
  9. Dayone

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania

    WanaJF salaam, Naitwa Dayone, kitaaluma mimi ni mwalimu na karibu tujadili mfumo wa elimu yetu na jinsi elimu ilivyo na thamani kubwa kwa watoto wetu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Nchi yetu kwa sasa ina tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo mbalimbali...
  10. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tanzania Itafute Mbinu Bora ya Kupambana na COVID19

    Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata chanjo tayari tuanze kurudi kuvaa mabarakoa tukiingia sehemu mbalimbali. Kuna hofu hapa kuwa namba...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli bora CAFCL, Miqsone akimbiza. Mpigie kura sasa

    Nenda kampigie kura dogo ashinde. Hata kama ni Yanga kampe dogo kiroho saaafi Updates Luis ameshinda kwa kishindo 92.5%
  12. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Kigeugeu cha CCM: Leo wasema Chanjo ni bora kuliko Nyungu

    Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona. Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule waliokubaliana enzi za John Pombe Magufuli kuwa chanjo hazifai. Wanafiki na wachumia tumbo wanatumia kauli ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nguzo muhimu kwa familia bora na imara ili kuleta maendeleo

    Mwanzo wa siku uanzia asubuhi na mapema ambapo jua uchomoza, Mpambanaji anaamka ndani ya familia yake tayari kuianza siku mpya yenye mipango na matalajio mengi. Ukiwa mwenye kiu na chachu ya mafanikio yakupasa uwe na Familia bora na imara kwani hao wanafamilia ndio wa kwanza kukutana nao na...
  14. silver jerry

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora na Maridhawa kwa Kuinua Maisha ya Watanzania kufikia mwaka 2040

    Watanzania wengi wanasumbuliwa Sana na ukombozi wa kifikra, Changamoto nyingi Sana za Maisha zinaielemea Jamii kwa sababu ya Elimu Mbovu na Mijiundo ya kiutawala tuliorithi kwa wakoloni! Hii imekua ni dhana mbovu Sana katika kuikwamua jamii katika lindi la umasikini wa fikra, mitazamo na Maisha...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kupika pilau lenye mchanganyiko wa viazi mviringo ndani na njegere

    Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu. Asanteni
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara ili kujiletea maendeleo

    Moja kati ya vitu mahimu sana katika kuinua uchumi wa inchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, nakadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara

    Moja kati ya vitu muhimu sana katika kuinua uchumi wa nchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, na kadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya takataka na mbinu bora ya kuziondoa na kuweka mji katika hali ya usafi .

    Katika maisha yetu ya kila siku ,binadamu hujikuta akizalisha takataka ( uchafu ) mwingi kila siku ili kukidhi maitaji yake, Hivyo basi kujikuta katika wimbi la uchafuzi wa mazingira. Ambapo athari zake ni kama vile magonjwa ya mlipuko,ajari nakathalika. Leo tunaenda kuona namna ambavyo maisha...
  19. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

    Salaam WanaJF! Binafsi ni msomaji sana wa Vitabu. Kupitia vitabu nimejifunza mengi, nimesafiri kwenda kwingi na nimekutana na wengi. Katika Usomaji wa vitabu, kila mtu anavyo vitabu ambavyo kwake ni bora zaidi na kwa sababu zake. Kupitia uzi huu naomba tushirikishane vitabu bora kabisa kwako...
  20. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uongozi bora kwa maendeleo ya Taifa

    “UONGOZI BORA KWA MAENDELEO YA TAIFA” Wengi tunajua sifa mbalimbali za viongozi bora waliopo na hata waliopita, basi sasa naend kueleza vitu vichache kwa upana zaidi juu ya viongozi ama uongozi bora kwa maendeleo ya familia,ukoo,mtaa,kijiji,kata nk mpaka kwa ngazi ya Taifa. Kiongozi bora ni...
Back
Top Bottom