Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi , Asasi za kiraia , vyombo vya habari na vyama vya upinzani.M ara nyingi madai yao yamejikita...
Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema Chanjo za #COVID19 zilizoidhinishwa kwa sasa ni salama na zenye ufanisi.
CDC inasema uamuzi muhimu zaidi kwa kila mtu ni kupata chanjo ya #COVID19 haraka iwezekanavyo kwani chanjo kuwafikia watu wengi ndiyo njia sahihi ya kumaliza...
HAKI ZA BINAADAMU.
Haki za binaadamu zinajumuisha mahitaji yote ya muhimu/stahiki za kila binaadamu pamoja na sheria maalumu za kumlinda na kumpa muongozo binaadamu yeyote katika utekelezaji wa maamuzi kulingana na mazingira au utaratibu wa maisha.
Baada ya kuona umuhimu wa kila binaadamu ipo...
Elimu ni moja ya haki za msingi kwa kila mtoto wa Kitanzania bila kujali mtoto huyo ni mlemavu au la.Pamoja na sera na mikakati ya kutoa elimu bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na wale wa kidato cha kwanza hadi cha nne lakini elimu inayotolewa kwa watoto walemavu hasa wale wa kuona,akili na...
Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha.
Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku wamebainika kuwa na shahawa ambazo ni bora zaidi.
Tatizo la uzazi kwa wanaume limeathiri karibu nusu ya...
“Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud
”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” - Sigmund Freud
Wakati tunaendelea na...
Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja.
Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800
Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
Nawashangaa Sana ndugu zangu! Munamdemkia mnoo!!
Sote hatujaona fikra au maono ya maza ambayo yanatekelezwa hapa nchini
Tozo si maono yake
Barakoa na chanjo si maono yake
Kesi ya mbowe si maono yake
Kuhojiwa Gwajima si maono yake
Bei za mazao si maono yake
Hivi ni nini kinaendelea nchini kwa...
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi...
Askofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake.
Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa.
Jumapili ijayo ni lazima atampasha...
Wakuu habari zenu,
Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
Mimi binafsi nimejiridhisha kupitia watu mbalimbali waliochanjwa ,kuwa chanjo zinazotolewa hapa nchini, zina uwezo wa kukinga uviko kwa kiwango cha kutosha.
Na hii ni kwa wale waliopitisha zaidi ya wiki mbili hivi tangu kuchanjwa.
Pia, nimeangalia matukio ya halaiki kama mpira wa miguu katika...
Naomba niwashirikishe kwny challenge nnayokutana nayo, ni hv:
Nipo kweny harakati za kupanga na kuanza maisha yangu nikiwa natokea gheto, mm ni muajiriwa nafanya kazi maeneo ya morocco.
Nawaza kipi ni bora kati ya haya maamuz mawili;
1. Kupanga sehem ya mbali mfano bunju ambyo nitaweza kupata...
Habari wana Jamìi Forum popote mlipo.
Nilitaka tu kumpa ushauri wa bure Askofu Gwajima kwasababu naona huko anakoelekea atakuja kujuta.
Nilianza kuona viashiria tangu wiki za nyuma baada ya watu mbalimbali kuanza kumuongelea Askofu kuhusu chanjo ya Uviko. Sasa nasikia waziri wa afya, Dk...
Mazao bora hutegemea sana kilimo bora
Unapoongelea kilimo bora huwezi kuacha kuongelea uandaaji wa shamba,upandaji wa shamba na utunzaji wa shamba bora ukitaka mazao yako yawe bora zingatia sana haya mambo, kwenye utunzaji wa shamba linda mazao yako kwa kutumia viuatilifu (pesticides) vilivyo...
Utangulizi
Kwa muda mrefu kumekuwapo na changamoto ya wananchi wengi waishio katika maeneo yanayozunguka bahari, maziwa na mito kufanya shughuli za uvuvi bila kufuata sheria na taratibu zinazowekwa na serikali na hivyo kufanya serikali kukosa mapato huku samaki na viumbe wengine waishio majini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.