bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

    Filamu zangu za mwaka ni; 1. Superman(2025) Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini. 2. Mickey 17(2025) Inaelezea vizuri kuhusu thamani ya utu. Inafikirisha kuhusu baadhi ya vitu, inachekesha pia 3. Edge of Tomorrow(2014)...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bidhaa ipi ni bora katika ku skimu ndani na eneo la copro(dirishani)

    Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe Coral decor Wallputy Gypsum power Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

    Merry Christmas and happy coming new year 2026 Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  5. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
  8. JamiiForums Tanzania HII NDIO SIKUKUU BORA KULIKO ZOTE, ZINAANZA NYINGINE THEN HII NDIO INAKUWA FUNGA KAZI. MERRY CHRISTMAS WANA JF

  9. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya uma kwa sasa yaige utendaji bora na ufanisi wa Tanesco

    Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kiongozi chipukizi mwenye ndoto kubwa za uongozi bora tafadhari mfanye nayib bukelle wa el salvador kama kioo chako

    Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  13. JamiiForums Tanzania Maisha bora kwa kila Mtanzania inawezekana

    Habari Tanzania ! Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria. 1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana. Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Huenda huu ukawa uzi Bora zaidi kuwai kuandikwa JF

    Habari wakuu? Kama mjuavyo jukwaa letu si la videos Sana Bali maandishi Sana au kusoma Sana nahicho ndicho kilicho nivutia Sana hapa jf Sasa Basi katika pita pita zangu hapa ndani nilikutana na kitu kinaitwa DARK DAYS 17/03/20... Aisee kitu kime tulia Sana na naona huenda ukawa ndiyo Uzi Bora...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

    Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu? Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Hawa wazee wanaotumia majukwaa kuhatarisha amani yetu wangefanyiwa hivi wao wakiwa vijana Leo hii wangekuwepo hai? Wazee acheni ubinafsi

    Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Bora angeendelea kutawala Malkia tu sasa hivi nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana

    Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa maana ya kwamba walikuwa hawajui haya mambo yalitakiwa ya fanywe miaka ya 90 huko? Au ndio wanaangaika...
  18. JamiiForums Tanzania Kipi bora Truck Mechanics ama Electronics

    Shalom, Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA? Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama degree) Na inawezekana kuhama kutoka Chuo kimoja cha VETA kwenda kingine kwa kozi tofauti? Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

    Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai. Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
  20. JamiiForums Tanzania Ni bora ukasema hii nchi inachama kimoja na inafanya watakavyo kuliko kuishi kwa kusema kuna democracy watu wajue cha kufanya sio kutumia kuua kuficha

    Kuna rafiki yangu ni taifa ambao wamenyooka sana kwenye elimu sana na matendo yao. Wanacho kwambia kama umetaka kufanya usilete kuchanganya pande mbili kuonesha kama sio wewe. Leo hii kwa kiduku inajulikana maamuzi yake ila wananchi wengi wameshaamua kama ikitokea uwezi wanaweza kuondoka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…