chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,038
- 3,081
huu uzi nadhani unaweza usipate mpinzani siku za karibuni
huzi wenyewe ni huu 👇🏾
Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia
hapa Joannah akishirikiana na Labella wamemwaga madini ambayo yana mafunzo yanayoweza kukusaidia na kukuokoa au kumuokoa rafiki yako siku moja
kuanzia uzi wenyewe hadi replies zake ni uzi uliosheheni madini ya kutosha