comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,689
- 12,115
Wangebeba kombe timu ya kusifu na kuabudu ingesema bila mama wasingebeba kombe.
SanaHadi wewe umeianzishia Uzi Serengeti boiz?!
Ama kwa hakika tunaowachukia wahuni tuko wengi.
👏👏👏.
Ngoja nami nianzishe Uzi mkuu.Sana
AnzishaNgoja nami nianzishe Uzi mkuu.
Ukitaja SAMIA NA MAKONDA kwenye chochote kama taifa unakuwa unaabudu shetani. Nimefurahi sana Senegal kushindaWangebeba kombe timu ya kusifu na kuabudu ingesema bila mama wasingebeba kombe.
Safi sanaUkitaja SAMIA NA MAKONDA kwenye chochote kama taifa unakuwa unaabudu shetani. Nimefurahi sana Senegal kushinda