bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Marashaaa95

    JamiiForums Tanzania Master Jay akubali P Funk majani ni bora kuliko yeye

    Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania NGOME J&U wana huduma bora, sambaeni mitaani pia.

    Mimi sijui kirefu cha Ngome J&U ila najua ni vituo vya kuuza mafuta ya Petroli kwa vyombo vya moto (Petrol stations) vinavyopatikana kwenye maeneo/kambi ya jeshi la wananchi JWTZ yanayotazamana na barabara kuu. Inawezekana ni vituo vinavyomilikiwa na jeshi kwakuwa viko maeneo ya jeshi na vina...
  3. Luxe Light Craft

    JamiiForums Tanzania BORESHA MUONEKANO WA NYUMBA YAKO KWA KUFUNGA TAA BORA ZA KISASA

    Luxe Light Craft Wauzaji wa taa za kisasa, zenye muonekano wa kipekee tipo kwaajili yako. Whatsapp +255764379293
  4. danhoport

    JamiiForums Tanzania Goodride: Je, ni tairi bora kwa barabara zetu au tunadanganywa na bei yake nafuu?

    Wakuu, habari za majukumu. Leo nataka tuguse mada ambayo kila mwenye gari itamfika tu—muda wa kubadili tairi. Kuna hii brand ya Goodride imetawala sana soko letu. Kila duka unalopita utaikuta, na bei yake ukiilinganisha na majina makubwa kama Michelin au Dunlop, utaona kuna utofauti mkubwa sana...
  5. Luxe Light Craft

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumishi wa Umma: Kipi Bora Kwako Kama Mwajiriwa? Uchukue Mkopo Mkubwa Kwa miaka 10 au Uchukue Mkopo Kidogo Kidogo?

    Kwa maoni yangu kuliko kuchukua vimikopo vidogo vidogo vya kulimbikiza Bora nichukukue pesa ndefu miaka 10 kabisa au zaidi nifanye jambo linaloeleweka. Ukiona wale waliokopa na wakafanya ujenzi ukaishia njiani, wengi wao ni walichukua Mkopo wa muda mfupi (less than 5 years). Lakini ukichukua...
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ujasusi sebuleni kwetu: Itabaki kuwa thread yangu bora ya Wakati wote hapa JF

    Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi. Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
  8. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Mbinu bora za kusimamia fedha

    🎯Tengeneza bajeti ya kila mwezi - Fuatilia mapato na matumizi ili uweze kujua kila mara fedha zako zinapoenda. Na kipaumbele mahitaji kuliko matamanio - Shughulikia mambo ya lazima kwanza kama kodi, chakula, au bili kabla ya kutumia fedha kwenye anasa. 🎯Ishi chini ya uwezo wako - Tumia kiasi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Soko jipya la Mbeya ni bora ujisaidie nje, ni vichafu

    Uongozi wa Jiji la Mbeya uangalie namna ya kufanya kuhusu Vyoo vilivyopo katika Soko jipya la Mbeya. Sinki ni la bati na uchafu unabaki kwenye bati la pembeni. Kwa ufupi mazingira ni machafu. Wahusika wanaangalia tu hela wanazowatoza watu kutumia lakini katika sula la usafi ni 0%.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

    Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya...
  11. X

    JamiiForums Tanzania ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Simtank ya Lake Plastics ni bora?

    Nipo kwenye mipango ya kununua Simtank, jiran yangu kuna harware yeye hana simtank nyingne zaidi ya lake, je hayo ni mazuri? Maana mimi nilisikia kiboko ndio imara zaidi. Mliowahi kitumia nawasubiri hapo chini.
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je hii ni ndio top ten bora ya rap ya Tanzania?

    1: dar es salaam stand up - chiddy 2: Zari la mentali - proj j 3: Mtazamo - afande sele 4: Mitungi/mikasi - ngwair 5: Bongo dar es salaam - prof j 6: Geto langu - ngwair 7: Habari ndio hio - ay/mwana fa 8: Hawatuwezi - nako 2 nako 9: mchizi wangu remix - nako 2 nako, chiddy, mwana fa...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

    Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
  15. O

    JamiiForums Tanzania AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mlete mwanao kwetu ELITE HOME TUITION umpatie elimu bora ya kweli

    Ndugu mzazi, la sivyo unaweza kumpoteza mwanao kielimu bila wewe kujua. Kwa sasa tumeshuhudia changamoto nyingi katika ufundishaji wa watoto: Mtoto anafundishwa egg lakini anapaka rangi nyekundu, ilhali hakuna yai lenye rangi hiyo. Orange anapaka nyeusi, lakini bado mwalimu anaandika...
  17. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya Mwaka 2025

    Kwangu mimi hii ndio picha bora ya mwaka 2025. Wewe je, picha yako bora ni ipi?
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

    Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga Mimi: Mathaus Keane Makelele
  19. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
Back
Top Bottom