bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ipi ni bora zaidi?

    Wakuu nataka ninunue pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi, yaani usafiri binafsi nk. Nataka ninunue pikipiki ambayo itakuwa nzuri hasa katika mazingira ninayoishi ambapo kuna barabara nyingi za vumbi na vilima/miinuko kwa wingi. Naomba ushauri kwa wataalamu na wenye uzoefu wa pikipiki ili...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Trend ya Wabongo kuiga maisha ya Movie za 70s na 80s na kufanya ndio maisha yao bora kwa sasa

    Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami. Karibuni kwa mjadala
  3. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Taja mechi zako tano bora za kombe la dunia mpaka sasa hivi

    Kwaupande wangu hizi apa 1. Ivory coast vs Equador 2. Morroco vs Brazil 3. England vs Croatia 4. Korea vs Czech Republic 5. France vs Senegal
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafungaji Bora wa Muda wote katika World Cup mpaka kufikia leo Juni 17, 2026

  5. J

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe bora wa maziwa

    Wauzaji na wazalishaji wa ng'ombe wa maziwa makambako 0763 357 978
  6. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

    Hlw Nipo nae tangia mwaka juzi, nilimtongoza akanikubalia nikaanza kuhudumiana naye kama girlfriend wangu na alinambia yupo chini ya uangalizi na wazazi wake so alikuwa akiishi kwao Nikimuhitaji nampata na tunakesha kesho yake anarudi kwao Jana nampigia simu anapokea jamaa yake huku analia na...
  7. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Huduma bora za ulinzi

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  8. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Je, uhakika ya Ibrah ndio ni wimbo bora wa 2026 AU unabebwa na upepo tu?

    Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema Uhakika ya Ibrah ndiyo wimbo bora wa mwaka 2026. Sawa, nakubali unafanya vizuri sana. Wimbo unachezwa kila mahali: bodaboda, kwenye mabajaji, mitandaoni, kwenye sherehe na hata WhatsApp status. Hilo halina ubishi. Lakini nina swali moja: Je, umaarufu wa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bora tufikishane mbali potelea pote. Lakini huwezi nitandika Mbele za watu kisa wewe kiongozi bila Sheria kufuatwa

    BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni. 2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  11. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Muziki wa zamani Haukuwa Bora zaidi, Bali Mazingira ya Dunia Ndio yamebadilika

    Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile. Kwa upande mwingine, wasanii wa...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Nadhani hili mentality ipo sana kwa wazazi wetu hasa ambao. Hawakufika shule nadhani, waliishi katika dunia ambayo waliamini kuajiriwa ndio kila kitu. Week iliyopita nilikua kwenye mji mmoja unaitwa Msalala geita hapo, kuna harakati sana za madini, nikakutana na homeboy wangu mmoja...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Bora tuu wamekosa kombe

    Wangebeba kombe timu ya kusifu na kuabudu ingesema bila mama wasingebeba kombe.
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Utawala wa kifalme ni bora sana. Jordan vs Tanzania

    Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m. Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz. Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wauzaji bora wa truck za howo na spare parts

    Kwa mahitaji ya truck za HOWO na spare parts zake, karibu ofisini kwetu karakana tukuhudumie Mawasiliano 0748 270 719
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi 10 Bora kwa Ukuaji Uchumi Duniani

    Tanzania imeendelea kujiweka katika ramani ya dunia baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zilizokuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi duniani katika kipindi cha robo karne iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Tanzania imeorodheshwa pamoja na mataifa kama China, India, Vietnam, Ethiopia...
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kikwete ana changamoto zake ila ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchi hii

    NI JAKAYA KIKWETE; Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji. Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nani anaefaa kuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu? Bruno au Rice?

    Nani anaefaa kuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu? Bruno au Rice?
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mtambo huu, excavator, je ipi ni nzuri na bora na imara?

    Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo! Asanteni,wasalaam. Inshaallah.
Back
Top Bottom