Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,600
- 15,520
Maisha yanatufundisha sio kila kitu unachokitamani unaweza kukipata, kuna vingine vinabaki kuwa ndoto tu.
Watanzania walikuwa wanataka viongozi wenye akili, wazalendo, wanaotumikia wananchi, wanaosikiliza wananchi, wenye ukarimu, wenye upendo, wenye maono, wawajibikaji, wenye uwezo wa kuwatatulia matatizo yao, viongozi watakaowajali, watakaothamini wananchi, wenye uchu wa maendeleo.
Watanzania walikuwa wanataka viongozi bora tu, walikuwa na matumaini kuwa upo uwezekano wa kupata viongozi bora, ila look at what they've got.
Poleni sana Watanzania