bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la...
  2. K

    Ubora wa Dkt. Samia ni kwamba ana mikakati bora na mizuri na panakuwa na 'win-win' unapomuelewa. Upinzani chukueni hili

    Kwa wafuatiliaji watakubaliana na Mimi juu ya mazingira ya ' win-win' anayoyatengeneza kwenye siasa za nchi yetu. Licha ya ukubwa na uimara wa CCM bado Rais Samia anaamini kwenye "win-win" kati ya CCM na Upinzani. Kwetu Bado tunajifunza mengi kutoka kwake ,amedhihirisha uvumilivu ni msingi wa...
  3. mdukuzi

    January Makamba ni bora kuliko Yusuf Makamba, Rizwan Kikwete ni dhaifu kwa Jakaya Kikwete

    Baba na mwana katika hizi familia mbili za wapakwa mafuta zinatafakarisha. UKimchukua January Makamba na mzee wake Yusuf ukaweweka kwenye mzani,Yusuf atamzidi January kwa umri tu,ni dhairi January alijifunza siasa kwa mzeewake na akampiku kila kitu,elimu,aiba nk. Njoo kwa Rizwan ambaye...
  4. TUKANA UONE

    Kwenye Vyakula na Mapishi bora 50, Tanzania hatumo

    Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka listi walijui Zege? (CHIPS MAYAI) au (WALI MAHARAGE)?
  5. M

    Nguo ya ndani bora kwa mwanaume

    Wakuu kwema, poleni na majukumu. Aisee nina changamoto ya fungus, nadhani zinatokana na hizi boxer ninazovaa. Humu mapajani kunasuguana mno, napata maumivu makali wakati wa kutembea. Kuna muda inabidi nitembee kama nimetoka kutahiri kumbe ni kuhofia ile friction ya mapaja hapo kati. Sasa...
  6. U

    Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wanapuuza elimu? Uwezo mdogo wa darasani? Hawataki elimu dunia ? Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard Havard...
  7. Theofrey Theofrey

    Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  8. L

    Chuo gani cha Private cha Afya (Medical laboratory) ni bora?

    Eti jaman chuo gani cha private chenye ada nafuu na bora kwa upande wa diploma ya medical laboratory . Ambacho mtu anaweza kumalizia diploma bila shida.
  9. Suley2019

    Je, unaweza kumpigia kura mgombea wa chama kingine aliye na uwezo na sera bora kuliko Mgombea wa Chama chako?

    Niaje Wadau, Uchaguzi umetaradadi, Majimboni kunazidi kuwaka moto. Wanasiasa wanaonekana saana. Kumekuwa na tamaduni za watu wengi kwenye jamii yetu kuwalinda na kuwaunga mkono wagombea wa vyama vyao hata kama hawana uwezo na sera zenye tija. Baadhi ya watu wanalazimika kutetea hata mabaya na...
  10. Mganguzi

    Paul Makonda na vijana wenzake ndio kizazi kilicho bora zaidi kitakacholeta mageuzi makubwa

    Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi. Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika shughuli zao za kila siku ikiwemo kilimo cha Alizeti, Kahawa, Ndizi pamoja na Shughuli za Utalii kwa...
  12. BARD AI

    Rushwa huathiri Utoaji na Upatikanaji wa Huduma Bora katika Afya, Elimu, Miundombinu na Utawala Bora

    Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma. Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa: Rushwa...
  13. M

    Ipi ni Shule Bora ya girls advance mkoa wa Dodoma

    Viongozi naombeni mnisaidie kujuwa Shule ipi ya girls ni Bora kweny ufaulu ya advance combination HGE au HGL. Location Dodoma:
  14. vvvv

    Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi. Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
  15. P

    Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unaoendelea katika Taifa letu

    Shalom in advance wakuu. Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unao endelea katika taifa letu, pesa za walipa Kodi maskini zina nufaisha watu wachache na familia zao. Kila taasisi hivi sasa inanuka wizi, Kisha tunabaki kulaumiana. Licha ya serikali kuweka Sheria...
  16. Majok majok

    Pacome Zouzou achaguliwa kuwa mchezaji bora hatua ya makundi CAF champions league

    Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni! Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza! Amafuatiwa na mostapha shobeir...
  17. Kamanda Asiyechoka

    Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika. Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
  18. S

    Timu bora huanza kujichuja kuanzia hatua ya Robo Fainali

    Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani. Hivyo, kuanzia hatua ya...
  19. K

    Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

    Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
  20. N

    Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

    Tafakuri Jadidi: Mzee Mwinyi Anaondoka Na Hatuna Kinyongo Nae.. "Kila zama na kitabu chake"- Ali Hassan Mwinyi. Na leo Watanzania zimetufikia habari za kuhitimishwa kwa Sura ya Mwisho ya Kitabu Cha Mzee Mwinyi. Ameifariki Dunia. Umma umegubikwa na simanzi. Mzee Mwinyi tulimpenda sana. Naam...
Back
Top Bottom