bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo. Zifuatazo ni sababu zangu Binafsi za Kiuchambuzi Mimi Krav Maga kwanini Simba SC tumefungwa na Kaizer...
  2. JamiiForums Tanzania Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

    Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja kujiajiri na kuajiri kundi kubwa la watu wasio na ajira Badala ya kukaa miaka 30 au 40 kazini mwisho iwe...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora tu muendelee kukatalia Wakenya, hizi video huonyesha kwa kweli tutawakoloni mkiachia

    Huwa nafuatilia channel ya hawa wadau ambao huwahoji Watanzania vitu vya kawaida, yaani Watz wapo wapo tu siku ziende, elimu mbovu hawana uwezo wa kushindana na moto wa Wakenya. Bora hivyo wao huogopa Wakenya maana duh!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Kiongozi Bora

    Kiongozi bora ni yupi? Ni yule anaweza kuliunganisha Taifa bila kujali, dini, kabila, rangi, ukanda, itikadi n.k. Ni yule anaweza kuzimamia Rasilimali za Taifa kuwanufaisha wananchi wa Taifa husika. Mwenye kuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu. Hatuhitaji viongozi ambao ni madadali...
  5. JamiiForums Tanzania Kupendwa au kuogopwa, bora nini?

    Msikilize Nicolo machiaveli anavyosema ndani ya The Prince. SURA YA 17 Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza kuwa, kila kiongozi anatakiwa ajitahidi asifike kwa rehema na si ukatili. Lakini anatakiwa kuwa makini...
  6. JamiiForums Tanzania Nezha Reborn: Animation bora kabisa kwa upande wangu

    Nezha Reborn ni animation hiii imetulia sana ina mkono sijapata ona kama uliona nezha part 1 basi hii si yakukosa
  7. JamiiForums Tanzania NICOLO MACHIAVELI: Kupendwa na kuogopwa, kipi bora?

    Anaandika hivu kwenye kitabu chake The prince. Mtafsiri: Pictuss. Email: pictuspublishers@gmail.com. SURA YA 17 Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza kuwa, kila kiongozi anatakiwa ajitahidi asifike kwa rehema na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Uwajibikaji kama msingi wa Utawala Bora?

    Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa. JE, KATIBA INASEMAJE? Kwa mujibu wa Ibara ya 8 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kustawisha afya za watu ndio chanzo cha kujenga taifa lililo bora

    Hakuna kitu chenye thamani duniani kama mtu kuwa na afya bora. Afya bora ndio inampa mtu nguvu ya kuweza kufanya shughuli zake mbalimbali ikiwemo kujitafutia riziki kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Ni kama msemo wa Kiswahili unavyosema “Bora Afya Kuliko Mali”, yaani ukiwa na mali huku afya yako...
  10. JamiiForums Tanzania Vitabu bora kwa ajili ya Finance

    Habari wanaJF, ni tumaini langu humu kumejaa watalaamu wa Finance and Accounting. Mie ninahitaji kujifunza na kusoma Finance personally.. kwa hivyo nahitaji recommendations ya vitabu Bora equivalent kwa Dip au Degree ya Finance. Kama utaniwekea na PDF itakuwa poa zaidi. Asanteni.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

    Tuna majirani wa hovyoo sana, full wazembe tu, hapa naponda hata Uganda, yaani wote waliotuzunguka ukianzia kule kwa vita vita kama Somalia na Sudan Kusini uje mpaka kwa wale hujiita vinara wa amani na wenye wingi wa raslimali, Tanzania, wote hakuna hata moja ndani ya mataifa yenye HDI bora...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maslahi bora, Mishahara juu, Kazi Iendelee mishahara haijapanda kwa miaka 6!

    Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake. Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi. Kazi Iendelee!
  13. JamiiForums Tanzania VPL: Tupange kikosi bora cha msimu 2020/2021

    Ikiwa Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni sio vibaya kuchambua AU Kutabiri ni wachezaji gani wanafaa kuunda KIKOSI BORA CHA MSIMU (VPL). Kuna wachezaji mbalimbali wamefanya vizuri na wanaendelea kufanya vzr kama Dube, Chama,MUKOKO, MKANDALA, Manula n.k. HAYA TWENDE > 1. Aishi MANULA 2...
  14. JamiiForums Tanzania CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo bora la biashara

    Habari zenu ndugu, Natafuta wazo bora la biashara ambayo nategemea kuwekeza mtaji takribani million arobaini na tano za kitanzania na return yake napenda kushauriwa itakuaje kwa mwezi. Msimamizi, mimi mwenyewe Eneo: Dar es Salaam Jinsia yangu ni mwanaume Makazi-Dar es Salaam Umri miaka 26...
  16. JamiiForums Tanzania Bora Matumizi ya Projector badala ya TV kuangalizia movie

    Wadau kutokana na kuwahi ibiwa Tv zangu za Samsung mara 3 nyakati tofauti tofaut sasa nmeamua kuachana na kununua TV. Sasa nawaza kununua Projector. Naomba ushauri kwa projector ya kufaa kwa ajili ya kuangalizia movie. Nahitaji Full HD, iwe 4K, 3D ,High Resolution. But katika hayo yote naomba...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi sound bar bora kati ya hisence watt 200 na lg watt 300

    Habari member kama title inavyosema ipi sound bar kati ya hizo ni bora coz mimi sina uzoefu na redio nahitaji tuchukue moja kati ya hizo
  18. JamiiForums Tanzania Sadaka kumpa mzazi ni bora kuliko kuipeleka kwenye nyumba za ibada

    Kama una laki moja yako usiipeleke msikitini/kanisani kwanza fikiria mama yako hana shida binafsi ambazo anaweza kutatua kwa pesa hiyo? Baba je? Ndugu wengine wa karibu? Kuna watu wazazi wao wanahangaika kutafuta ugali wa siku mtu ile package ya kula wiki hana lakini mtu huyu anachukua pesa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Samia atakuwa Rais bora kwa kuwa karuhusu kukosolewa

    Wote tumesikia karuhusu na kiukweli kalazimisha watu waikosoe serikali. Tumeshaona wabunge tena wa CCM wakiwa mbele kuikosoa serikali. Hawa watataka wawazidi CHADEMA na wenzao katika kuikosoa serikali na tayari tumeona wameshaanza. Wapinzani kama CHADEMA na wenzao nao wataendelea kukosoa huku...
  20. JamiiForums Tanzania TMA siku zingine kama hamna uhakika na Hali ya Hewa bora mnyamaze tu kwani mmenichania Mkeka wangu

    Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu. TMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…