JBL,SONY, SAMSUNGZipi ambazo unauzoefu nazo?
tupe ujuzi mkuuuJBL,SONY, SAMSUNG
Nami nasubiri jibu.yaani mwenzenu hata sielewi kitu.
sound bar ya watt 600w,inawezakuwa inapiga mziki kuliko HT ya watt 1000???
Ladha ya surrounding sauti unayoipata kutokana na kutandaza speaker za HT, ni sawa na kutumia soundbar?JBL,SONY, SAMSUNG
Hapana to my experience HT is more powerful and satisfying! Sound bar is all about fancy stuff!Ladha ya surrounding sauti unayoipata kutokana na kutandaza speaker za HT, ni sawa na kutumia soundbar?
Hapana to my experience HT is more powerful and satisfying! Sound bar is all about fancy stuff!
Sijawahi sikiliza hizo mkuu ila nimeipenda Kodtec kwa kweli! Katika systems za kichina alionikosha ni huyu tu!Mkuu unazifahamu HT za Mr UK?? Vipi is it worth ? 375K 1000 W?
Vipi ushauri wako juu ya hii HT?