Naombeni wazo bora la biashara

Apr 1, 2021
6
45
Habari zenu ndugu,

Natafuta wazo bora la biashara ambayo nategemea kuwekeza mtaji takribani million arobaini na tano za kitanzania na return yake napenda kushauriwa itakuaje kwa mwezi.
  • Msimamizi, mimi mwenyewe
  • Eneo: Dar es Salaam
  • Jinsia yangu ni mwanaume
  • Makazi-Dar es Salaam
  • Umri miaka 26
  • Elimu niliyonayo inatosha kuendesha (hapo sina shaka)
Experience nina miaka minne kwenye duka la rejareja nauza duka la rejareja (home basic needs) nikilisimamia mwenyewe.

N.B Kwa nature ya biashara nayofanya tayari nina experience ya kutosha kwenu ninyi nachoomba wazo la biashara ambalo naweza ingiza hizo pesa zote au robo tatu yake. Biashara aina yoyote naweza fanya.
 

Shomary47

Member
Feb 12, 2021
55
125
Maoni yangu mimi, Diversify, hiyo pesa wekeza Sehemu angalau Tatu, but yahitajika ufuatiliaji mkubwa sana. Kwanza wekeza kwenye Duka la dawa/au maabara flan ivi ya kihuni (i mean simple lab).

Pili wekeza kwenye Ufugaji wa Kuku kibiashara, either uanze kufuga from scratch au Uwe unanunua kwa wafugaji in large scale unauza bidhaa zitokanazo na kuku ni Nyama na mayai , tatu na mwisho wekeza kwenye Chakula/mgahawa tafyta sehemu yenye traffic kubwaa weka mzigo.

I hope utapata return nzuri saana ukiqa serious. (When all risks are calculated) Good Luck. !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom