bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Misingi ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Ili kuendana na dunia ya sasa inayopiga hatua katika ukuaji wa sayansi na teknolojia, suala la uwajibikaji wa viongozi wetu na wale waliopewa mamlaka kuhakikisha wanatawala kwa kufuata misingi ya haki na usawa ni katika mambo ya msingi sana na muhimu katika jamii yetu. Sawasawa wawe viongozi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Misingi na kanuni za kilimo bora

    Misingi na kanuni za kilimo bora. Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo: Kuwa na mipango thabiti inayotekelezeka kabla ya kuanza kufanya kazi yeyote ya maendeleo ni vyema, kuweka...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Utawala Bora na Uwajibikaji

    Habari wakuu! Katika Nchi zilizoendelea na zinazoendelea suala la utawala bora na uwajibikaji ni kipaumbele cha kwanza ambacho kinawezesha nchi kuleta matokeo chanya mfano kwa hapa Tanzania suala la utawala bora na uwajibikaji bado halina nafasi kubwa hivyo hupelekea baadhi ya maeneo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Eeeh bwana eeeh Kikosi bora Euro2020 Lukaku ndani Ronaldo out

    Wakuu salaam, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora. Inawezekanaje hii. Hii ni hujumaaa. Euro irudiwe irudiwe irudiwe Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha...
  5. JamiiForums Tanzania Na Mchezaji Bora MVP ni Luis Jose Miqsonne

    Mabingwa ni Simba Sc Mfungaji bora ni John Bocco wa Simba Sc Mchezaji bora ni Luis Miqsonne wa Simba Sc Kipa bora ni Aishi Manula wa Simba SC Beki Bora ni Joash Onyango wa Simba Sc Hawa Simba ukiwachekea wanachukua kila kitu
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri bora zaidi kwa vijana wanaomaliza Kidato cha Nne na Sita

    Habari! Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2021 hizi hapa

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo. Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania TEC na Taasisi nyingine mnalialia kuwa mnasaidia elimu bora kumbe ndio mnasujudu umaskini

    Wana JF, Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa. Kwa sasa shule za Romani na KKKT ni ghali mno. Kuna shule zilianzishwa kama za kusomesha watoto yatima lakini zimekuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania England vs Darnmark: Kawaida ya Euro 2020, timu bora lazima iage mashindano leo!

    Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano. Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

    Nawasalimu kwa Jina la JMT. Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11. Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

    Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza, Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu...
  12. JamiiForums Tanzania WCB Wasafi kiwanda Bora cha mziki mjini

    Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini wa kutupwa duniani, .... hata hvyo katika sekta ya burdani Tanzania, WCB isifananishwe na utopolo...
  13. JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Hii hapa wadau...
  14. JamiiForums Tanzania Live streaming bora kwa channel za Tanzania

    Kwa kitambo kirefu sikuwepo hapa jukwaani lakini nimerejea sasa na nitakuwepo hadi atakapopenda Mwenyezi, sasa nimewawekea application bora kwa streaming za channel za hapa nyumbani Tanzania. Ipate kutoka Google Play Store hapa Pure Entertainment - Apps on Google Play Kupata channel za nyumbani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Usimamizi na matumizi bora ya mitandao ya kijamii vitaleta manufaa zaidi kwa jamii

    Wakati dunia inaadhimisha siku ya mitandao ya kijamii, kumekuwa na maswali mengi kuhusu matumizi na matokeo yake kwa jamii. Kuna wanaoona mitandao ya kijamii imekuwa na manufaa sekta nyingi kama habari, biashara, sanaa na fedha, kuna wengine wanaona kuwa imeleta janga na changamoto nyingi, hasa...
  16. JamiiForums Tanzania Msolla, uongozi bora kwenye mpira ni vikombe vingi

    Mzee Kikwete aliusifia uongozi wa akina Msolla kuwa anaongoza vizuri klabu ya Yanga. Je, hii ni kweli? Miaka 4 hujapata kombe lolote ispokuwa Mapinduzi Cup huo ni uongozi bora?
  17. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kujiendeleza kwa degree baada ya ordinary diploma ya clinical medicine au kuanza na kufanya kaz kwa miaka kadhaa ndio ujiendeleze na

    Habar zenu Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Dar napata Smart TV bora kabisa?

    Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo? Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
  19. JamiiForums Tanzania Jerry Nashon dudumizi ndio mwimbaji bora wa wakati wote. Nimejiridhisha

    Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini. Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za singeli ni bora?

    Nitumie nyimbo za singeli kwamba unafikiri ni safi sana, nimeshasikiliza wimbo wa singeli wiki jana, na ninataka kuiliza nyimbo nyingine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…