Live streaming bora kwa channel za Tanzania

Ipo vizuri na quality ipo sawa ila channel ni 4 tu Mkuu, ungejaribu kuongeza ongeza hata ITV nayo iwepo
 
Ipo vizuri na quality ipo sawa ila channel ni4 tu Mkuu, ungejaribu kuongeza ongeza hata ITV nayo iwepo
Nimerejea mjini hivi karibuni, kwa hiyo nitazidi kuongeza channel kwa kadri siku zinavyoenda
 
Hapo kwa Azam sport2 nimekuelewa,kilichobaki ni kuongezea baadhi ya channel tuu.
 
Mkuu tuelekeze namna ya kuipata playstore moja kwa moja link inazingua
Ni app mpya so itachukua muda kidogo kuanza kuonekana kwenye search results za play store inaitwa Pure Entertainment ndio maana nimeshare link itayo kupeleka moja kwa moja play store
 
Mkuu mimi ni mtumiaji wa Apple TV na naomba unitumie m3u playlist PM kama ungejali. Thanks
 
Tatizo wakishasifiwa huwa wanalewa sifa wanaharibu, mwanzo ilikuwa nzuri sana hii app, ilikuwa na channel 4 ambazo zipo clear na zinaenea kwenye screen hadi raha, lkn sasa unakuta channels zinapotea tu, matangazo kama yote, halfu ukitaka chennel inakupeleka mpk google browser(Chrome) huko ndio ianze kustream ikiwa nusu na sio kujaa kioo tena.
 
Kiukweli hakieleweki kitu saivi
 
Kuna jamaa alianza kama wewe, baadaye ili kua ccess app yake akaweka tozo la shilingi buku 2...

Je na wewe ndio muelekeo wako huko?
 
App iko poa kwa sasa, tumepunguza ads, kama bado unapata ads nyingi, bonyeza settings kisha bonyeza clear caches
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom