Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2021 hizi hapa

demarine

Member
Dec 6, 2020
18
29
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.

Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni Kisimiri ya mkoani Arusha iliyokuwa na watahiniwa 72.

Msonde amesema Kemebos ya Kagera yenye watahiniwa 35 imeshika nafasi ya pili ikifuatiwa na Dareda ya Manyara watahiniwa 101.

Nafasi ya nne amsema imechukuliwa na Tabora Girls yenye watahiniwa 100 ikifuatiwa na Tabora Boys yenye watahiniwa 120.

Nafasi ya sita imeshikwa na Feza Boys ya mkoa wa Dar es Salaam iliyokuwa na watahiniwa 71 ikifuatiwa na Mwandet ya Arusha yenye watahiniwa 53.

Zakia Meghji imeshika nafasi ya nane ikitokea mkoani Geita. Ilikuwa na watahiniwa 31, ikifuatiwa na Kilosa ya Morogoro yenye watahiniwa 91, na Mzumbe watahiniwa 135.

=====

Izi hapa shule 10 zilizofanya vizuri zaidi mwaka 2021

1.KISIMIRI
2.KEMEBOS
3.DAREDA
4.TABORA GIRL'S
5.TABORA BOY'S
6.FEZA BOY'S
7.MWANDET
8.ZAKIA MEGHJI
9.KILOSA
10.MZUMBE

LINK YA MATOKEO IYO APO

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.

Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021 visiwani Zanzibar wakati akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema shule iliyoshika nafasi ya kwanza ni Kisimiri ya mkoani Arusha iliyokuwa na watahiniwa 72.

Msonde amesema Kemebos ya Kagera yenye watahiniwa 35 imeshika nafasi ya pili ikifuatiwa na Dareda ya Manyara watahiniwa 101.

Nafasi ya nne amsema imechukuliwa na Tabora Girls yenye watahiniwa 100 ikifuatiwa na Tabora Boys yenye watahiniwa 120.

Nafasi ya sita imeshikwa na Feza Boys ya mkoa wa Dar es Salaam iliyokuwa na watahiniwa 71 ikifuatiwa na Mwandet ya Arusha yenye watahiniwa 53.

Zakia Meghji imeshika nafasi ya nane ikitokea mkoani Geita. Ilikuwa na watahiniwa 31, ikifuatiwa na Kilosa ya Morogoro yenye watahiniwa 91, na Mzumbe watahiniwa 135.
 
Siku hizi no consistency top 10

Ni zigzag...

Implying something wrong somewhere
 
Matokeo hayo yanaonyesha shule Bora kidato cha sita mwaka huu.

Shule zilizo ongoza ni kama ifuatavyo:

1- Kisimiri ya Arusha yenye watahiniwa 72
2- kemebos ya kagera yenye watahiniwa 32
3- Dareda ya manyara yenye watahiniwa 101
4- Tabora Girls ya Tabora yenye watahiniwa 100
5- Tabora boys ya Tabora yenye watahiniwa 120
6- Feza boys ya Dar es salaam yenye watahiniwa 71
7- Mwandet ya Arusha yenye watahiniwa 53
8- Zakia Meghji ya Geita yenye watahiniwa 31
9. Kilosa ya Morogoro yenye watahiniwa 91
10. Mzumbe ya Morogoro yenye watahiniwa 135
 
Back
Top Bottom