bongotech255

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐—›๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‘ค

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘ Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. ๐Ÿ“ Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ฌ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ ๐Ÿ˜€

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐Ÿ”ฅ Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ ๐Ÿ“ฑ Kwa nini MP02 ni ghali? ๐Ÿค‘ Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ€” takribani TSh milioni...
  3. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—จ๐—˜๐—ก๐——๐—” ๐—จ๐—ž๐—”๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐—” ๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐—— ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—ž๐—ช๐—” ๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—”๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! ๐Ÿ”ฅ Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  4. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿ‘€๐Ÿ”

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. ๐Ÿ” Wazazi wataweza kudhibiti nini? ๐Ÿ‘ค Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  5. JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026. Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamuโ€ฆ lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! ๐Ÿ’€ ๐Ÿ‘€ 1. IMEI & LOCK Hakikisha IMEI...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—ฆ๐—”๐—š๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐— ๐—”๐—ฃ๐—ฌ๐—”

    Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi. Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02 Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa kazi kweli!

    Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoniโ€ฆ tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi. Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. ๐Ÿ˜…๐Ÿ’ป Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Enzi zimebadilika...
  8. JamiiForums Tanzania Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

    Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu ๐Ÿ‘‹. Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri ๐Ÿ˜ฌ Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...
  9. JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ โ€” na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! ๐Ÿ” Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja โœจ Gemini...
  10. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ผ๐—ป๐˜† ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—จ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€ ๐—ผ๐—ป๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐ŸŽฎ

    PlayStation iko kwenye majaribio ya kuleta mfumo mpya wa Rewards ambapo watu wataweza kupata hadi $10 za PSN Wallet Credit baada ya kununua games zilizochaguliwa. ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ’ณ Ukinunua game yenye offer hiyo, $10 zinaongezwa kwenye Wallet yako ili zitumike kwenye manunuzi mengine ya PlayStation Store. ๐Ÿค‘๐ŸŽฎ...
  11. JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Kwa ufupi tu kuhusu...
  12. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค” Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  13. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—น๐—ผ๐—ฐ๐—ธ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ ๐—œ๐—— ๐Ÿ‘ค

    Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji. ๐Ÿ˜ณ Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

    Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail๐Ÿ‘‹. Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ Gmail sasa inaonyesha โ€œCopy codeโ€ โ€” bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja ๐Ÿ“‹โšก...
  15. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ฎ๐˜a๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—œ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—บ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐Ÿง‘โ€๐Ÿฆฏ

    Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. ๐Ÿง ๐Ÿ‘€ Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
  16. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ผ๐˜€

    Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive ๐Ÿ‘‹. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. ๐Ÿ‘€ Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania ๐—ก๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜€๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ๐Ÿ”‹๐Ÿ“ฑ

    Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? ๐Ÿ˜ฑ Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako ๐Ÿ‘‹. Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ Kutoka kwenye Apps ๐Ÿ“ฑ, Websites ๐ŸŒ, Games ๐ŸŽฎ hadi AI ๐Ÿค– nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? ๐Ÿ˜ฎ 256 si namba tuโ€ฆ ni siku...
  19. JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE โ€” ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Smartphone ambazo zinatengenezwa Tanzania

    Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja ๐Ÿ˜ƒ. Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ