bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bongo Zozo anamzidi akili Jaji Chande(?) Common sense must prevail

    Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala. Common sense must prevail.
  2. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamejaza magari ya washa-washa mitaani kabla ya Ripoti ya Chande kukabidhiwa

    Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
  3. JamiiForums Tanzania Changamsha bongo: Wasomi, unaweza tumia njia gani kutenganisha huu udongo?

    Ukiambiwa utenganishe huu udongo utatumia njia gani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo Fleva Sensation And Vaileti Hit Maker Matonya Charged With Rape In Kenya

    Tanzanian musician Sefu Shabani, better known by his stage name Matonya, has been detained in Kenya after being accused of rape. According to a statement released on X by Kenya's Director of Public Prosecutions (DPP), the 43-year-old disputed the charge when he appeared in court in the seaside...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa sasa Bongo ukiwa huna kazi na biashara imefeli utashambuliwa kwa uvivu na maneno makali na nchi nzima

    Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia. Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
  8. JamiiForums Tanzania Nitajie content creators/celebrities wa 3 bongo uliowafuatilia zaidi mwezi March

    Kwa mimi binafsi Kwa March kuna 1.Stan bakora na mwenzake aisee content zao ziko so unique ni fupi haziboi halafu hazivunji sana maadili, no wonder why makonda amewahi kumsifia stan yuko vizuri kwa sasa kwenye upande huo..mwingine kwa comedy ni Azaboi mkali sana 2.rich msafi east africa...
  9. JamiiForums Tanzania Jingles za Clouds FM na Bongo FM ni kiboko

    Hizi redio zenye maudhui ya vijana zinashindana sana.Zimetengeneza nyimbo za utambulisho wa redio zao kiboko kwelikweli. Clouds wimbo wao ni nyoosha njia na Bongo FM wimbo wao ni hakuna mipaka. Nyimbo hizo huwavutia sana wasikilizaji kiasi cha kuwaongezea wasilikilizaji, kitu ambacho ndio...
  10. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Jina langu ni Chai. Mke wangu ni Sukari. kijana wangu ni... ?

    Riddle Time
  11. JamiiForums Tanzania Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

    huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...
  12. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo

    Point ngapi unazo mdau...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Jesca ni content kubwa bongo?

    Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini!
  14. JamiiForums Tanzania Piki piki ipi ni imara kwa Barabara zetu za kibongo bongo

    Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250 Hasa ukizingatia upatikanaji wa vifaa vya matengenezo na ubora wa kustahimili barabara za vumbi sambamba na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni watu maarufu wanasilimu kwa kasi bongo au watu kusilimu huambatana na kampeni kubwa ya matangazo?

    Wabillahi taufiq, Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money. Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca. Sijawahi kuona...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  17. JamiiForums Tanzania Je, hii ndio Rap Song of All Time kwa Bongo?

    https://youtu.be/UiIa2i29PZ4?si=2FBzIVDQBmQWwV81 Sikiliza mistari, mstari kwa mstari Sikiliza beat, sijui nani aliwatengenezea Sikiliza Father Nelly(RIP) anavyonata na hilo beat Sikiliza ujumbe mzito, ujumbe relevant mpaka leo Ninazijua nyimbo zote za Rap toka 2010s kushuka chini. Nawajua...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua

    Eti kujitambua ni nini? Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua Ikifika hiyo stage kama ALIKUWA na mume anaanza kuona kero, hasa kama atamzidi, kama ALIKUWA na mchumba ake vivyo hivyo. Anaanza KUWA mwanamme WA kike, anaanza kusahau KUWA ana ..., anaanza KUWA feminist...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton usilogwe ukaja Bongo, usifanye makosa kama ya Polepole

    Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii? Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts! USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO SAWA, LKN KAMA UKO NJE USILOGWE By the way, hivi huwa unaripoti kesi ya Lisu ukiwa mahakamani au vipi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Samia usiogope magereza ya the hague kuna milo mitatu sio kama bongo

    mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri. Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…