Kongole kwa old xcul Bongo flava 30 yrs Concert

Kongole kwa old xcul Bongo flava 30 yrs Concert

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,589
Reaction score
6,463
Hii ni kubwa sana , hongera kwa Event organiser wa old xcul Bongo flava 30 yrs, tunapata burudani na kumbukumbu za wayback .
 
Huu uandishi wa kutumia x badala ya s ni wa kijinga na kipuuzi sana. Hoja yako ilikuwa nzuri ila imekuwa ya kipuuzi na kijinga kwa uandishi wako
 
Huu uandishi wa kutumia x badala ya s ni wa kijinga na kipuuzi sana. Hoja yako ilikuwa nzuri ila imekuwa ya kipuuzi na kijinga kwa uandishi wako
Thats a slang my nigga 😃😃
Acha pigo za kizee , hiyo old xcul inatumika sana hata na bloggers online
 
Back
Top Bottom