bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  4. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo hawajui tofauti ya 'defend' na 'defence'

    Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake. Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence. Defend ni verb Defence ni noun Verb ni kitendo Noun ni nomino au jina Hivyo basi defend ni kulinda Defence ni ulinzi Msikie huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Niagize simu nje au ninunue hapa hapa Bongo?

    Nataka kununua iPhone 12 Pro Max au S21 Ultra, je ni bora niagize nje (eBay) ama ninunue tu Makumbusho?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

    Bongo kila kitu ni kuchakachua tu! Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kandanda nako siku hizi michongo mtupu n.k Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine! Aisee nimejaribu...
  7. JamiiForums Tanzania Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

    Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi. Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga ihamishiwe La Liga, hili soka siyo kiwango cha Ligi ya Bongo

    Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili. Ni wakati muafaka wa...
  9. JamiiForums Tanzania BONGO MOVIE | Special Thread

    Top ten Bongo movie series of all time. Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia. lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
  10. JamiiForums Tanzania Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya 1) Kinondoni 2) Ilala 3) Ubungo 4) Temeke 5) Kigamboni Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
  11. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo, chemsha bongo. Karibu uweke jibu lako

    Habari watu wote wa hili jukwaa la elimu. Leo kuna mtoto wa kaka angu amekuja na hii chemsha bongo na kusema ukweli naona kuna kila dalili ya mimi kuchemsha. Iko hivi" Nguo dukani inauzwa Sh.10000/= Na wewe hauna pesa ila hiyo nguo unaitaka, ukaamuwa kwenda kukopa kwa kaka ako Sh.5000/= na...
  12. JamiiForums Tanzania Wasanii wa hip-hop wa bongo, wamejipoteza kwenye game wenyewe

    Picha hii inamuonesha Nash MC, mmoja kati ya wasanii wa Hip Hop Nchini Ni wazi muziki wa hip-hop wa bongo umepotea kabisa. Wasanii wa hip-hop hawafanyi vizuri sokoni yani kwa sasa bongo ukiimba hip-hop unaonekana kama umechanganyikiwa. Tofauti na zamani kidogo hiphop ulikuwa inafanya vizuri...
  13. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira bongo ni lazima kuongea kiingereza ugoko?

    Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko? Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani? Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani. Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini scale za geologists kwa bongo ziko chini kuliko meneja wa vitengo?

    Wanabodi, nimefuatilia mambo ya migodini nikagundua geologist, engineer ambaye ana cheo kama geology manager, au Gelogy supervisor mshahara wao unakuwa wa kawaidi, mfano 9-10 Million/mwezi wakati Supervisor wa maendeleo ya jamii anakula hata million 14. Je hii ni kwanini au wana malipo ya ziada...
  16. JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Kevin Lameck Bongo TV na Mohamed Said Sehemu ya Pili

  17. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kariakoo Derby yawaleta Africain Bongo

    Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  19. M

    JamiiForums Tanzania China kajipambanua kama chui wa karatasi: Hapa bongo tunasema ni "nyoka wa kibisa"

    Mabeberu yameshamgundua china kuwa ni chui wa karatasi! Chui wa karatasi ana sura ile ile ya chui na ametoa meno lakini hawezi kuuma!! Ni sawa na nyoka wa kibisa ambaye hata watoto huwa wanaweza kucheza naye maana alishatolewa meno! China ilibweka sana kutishia Spika wa bunge la marekani Pelosi...
  20. JamiiForums Tanzania Kibongo bongo hawa ndio mashujaa wa nchi yetu

    KIBONGO BONGO HAWA NDIO MASHUJAA WA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel. Ifuatayo ni orodha ya mashujaa waliopo katika nchi yetu. Ukiwaona watu wa namna hii waheshimu Sana. 1. Vijana ambao hawajaajiriwa lakini wanajitegemea. Shout-out Kwa wanangu wote wa kitaa, na warembo wote ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…