Wasanii wa Bongo badilikeni, jifunzeni kwa wenzenu namna nzuri ya kufanya show

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights.

Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini.

Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata maji hamtununulii aisee. Mnatuchosha na tunawalipa.

Screenshot_20230216-001729.png
 
Kwa Quality ya Production ya ile performance ya Riri kuanzia stage preparation mpaka sound engineering, Best Naso fahari ya Watu wa Kanda ya Ziwa anakupa show moja matata mno.

NB: Usifananishe kifo na usingizi
 
Sijawahi kuona mkiwaponda wazungu performance zao, any way ata wao wanaperformance mbovu sema ndio hivyo mliisha kalili,
 
Back
Top Bottom