bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

    Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
  2. Nawachukia sana waendesha bodaboda

    Yeereeeeeh, Tulisifika sana enzi zetu sisi mashamba boy, Houseboy na Wabeba zege. Mara ghafla miendesha bodaboda ikaja na kuchukua heshima na hadhi yetu ya kuridhisha wasioridhishwa. Siku, miaka na maisha yanaenda kasi sana.
  3. Mkeo ana bodaboda wake?

    Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli. Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako...
  4. Bodaboda ya mkataba faida inapatikanaje?

    Wadau naomba kuuliza anayechukua bodaboda ya mkataba ili kumpelekea kilasiku hesabu Boss 10,000 anaweza kuingiza Tzs ngapi kwasiku akifosi kwelikweli, sehemu ya kazi mtoni kijichi.
  5. Ipo siku ambayo vijana watakuja kugundua kuwa bodaboda zinawaumiza na kudai kupewa Kazi nyingine salama

    Utafiti mdogo niliofanya kuhusu ukosefu was nguvu za kiume miongoni mwa vijana unaonyesha kuwa vijana wanaofanyakazi ya bodaboda wanakabiliwa na upungufu was nguvu za kiume kwenye umri mdogo. Na tatizo ni kubwa kwa wale wanaobeba mishikaki (abiria zaidi ya mmoja) na mizigo mikubwa, kwakuwa...
  6. Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  7. Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  8. Kiwanda cha Bodaboda

    Kiwanda cha Bodaboda Ikiwa kichwa cha habari kimekufanya uwaze mitambo ya kutengeneza pikipiki, karibu kwenye mada. Mada hii si kuhusu mitambo ya kutengeza pikipiki (factory). Mada hii inahusu watoa huduma za usafiri wa bodaboda. Mafundi wa pikipiki za bodaboda. Watumia huduma za bodaboda. Na...
  9. MOI: Kuna ongezeko la Wagonjwa wengi watokanao na ajali. Nusu ya Wagonjwa ni ajali za bodaboda

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), imesema imekuwa ikiwapoteza wagonjwa kati ya wawili hadi watatu kila mwezi katika Idara ya Wagonjwa wa Dharura kutokana na ajali zikiwamo za pikipiki. Ofisa wa Takwimu wa MOI, Joshua Ngahyoma, aliiambia Nipashe...
  10. B

    Tetesi: bodaboda mjini zilindwe

    Ni wakati sasa wa serikali kutunga sheria rafiki kwa bodaboda wanaofanya kazi maeneo ya mjini kwa kuwatambua na kuwapa utambulisho maalumu ili kuondoa hadha ya kusumbuliwa na askari polisi na askari wa jiji, kwani kwa sasa bodaboda anaweza akakamatwa akalipishwa fani ya zaidi ya laki na zaidi...
  11. Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer. Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara. Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
  12. D

    Anayestahili kulaumiwa kosa la watoto wadogo wa shule kubebwa mshikaki kwenye bodaboda

    Pamoja na kwamba Sensa haifanyiki siku hizi! Wacha nijikite kwenye mada tajwa! Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya watoto wadogo wa shule kubebwa zaidi ya mmoja kwenye pikipiki moja (mshikaki). Kitendo hiki kinahatarisha Sana usalama wa Watoto hao lakini Je; Anaestahili kulaumiwa hapo ni Nani...
  13. Bodaboda kapita na Side Mirror ya gari yangu. Nipo kwa fundi hapa narekebisha!

    Sijamaliza hata miezi mitatu tangu nimiliki funguo ile watu wanaichomekaga kwenye ruksi za suruali inaonekana kwa nje hivi, nishaanza kuona 'joto ya jiwe' ya kumiliki usafiri! Juzi Jumatano nilikua natoka kwa Aziz Ally kumpeleka 'rafiki yangu wa kike'. Wakati narudi ishakua usiku mishale ya...
  14. Uchaguzi 2020 Bodaboda, Machinga na Mama N'tilie, Mungu awape nini tena juu ya Rais Magufuli?

    Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu kwenye maeneo flanflan ya nchi kama vile nyie sio binadamu na kwamba hamtakiwi. Yani kwenye ardhi...
  15. Ajali: Mwendokasi lagonga bodaboda na kumuua Tip Top

    Ajali imetokea muda huu. Ni katika stand ya mwendokasi Tip Top manzese. Ajali huyo ilihusisha bodaboda na gari ya mwendokasi. Taarifa kutoka eneo la tukio ni kwamba bodaboda alikatisha kwenye zebra ya mwendokasi akiwa anaendesha ili kuhamia. Gari la mwendokasi likakosa break na kumgonga...
  16. Ubungo: Boniface Jacob amejiingiza kwenye kazi ya bodabada

    Boniface Jocob Aliyekua diwani kata ya Ubungo na Meya wa Manispaa ya Ubungo amejiingiza kwenye kazi ya bodabada baada ya kustaafu kazi yake. Kwa sasa ni mgombea ubunge kupitia CHADEMA anakutana na Profesa Kitila Mkumbo wa CCM pamoja na Saed Kubenea wa ACT. Lakini mchuano mkali inategemewa kuwa...
  17. #COVID19 Virusi vya Corona: Museveni aruhusu Bodaboda na 'Taxi' kubeba abiria

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameruhusu waendesha boda boda na texi kuwabeba abiria kwa masharti kwamba lazima wavae barakoa kuzingatia muongozi wa kuzua maambukizi ya corona. Rais pia alipunguza muda wa kafyu kwa saa mbili - sasa itaanza saa tatu usiku saa za Afrika Mashariki. Katika hutuba...
  18. Uganda Bodaboda waishitaki Serikali kwa kuwazuia kuendelea na biashara

    Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao Kesi hiyo ilifunguliwa katika Mahakama Kuu ya Kampala. Waongozaji wa suala hilo wamesema kuwazuia...
  19. Nyie wadada mnaosukana pembeni ya barabara muwe mnabana miguu yenu bodaboda angeniua leo

    Nipo na jazba hapa yani basi tu, ningeua mtu haki ya nani. Acha napumzika hapa🤕😥
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…