bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  2. Von_Lufuta

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Bodaboda kuweni makini, vinginevyo mtaisha

    Wakuu habarini za wakati huu.. Nipo Pwani huku wilaya ya Rufiji kuna Kijiji kinaitwa Mloka, mida ya jioni hii kuna kijana wa Bodaboda kapata ajali mbaya sana. Kama mnavyojua maeneo haya gari za kutembeza watalii ni nyingi sana, sasa kuna vijana kama watatu walikuwa kwenye kushindana kumwaga...
  3. Sajo

    JamiiForums Tanzania TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

    Mahakama ya Rufani Morogoro, imetupilia mbali rufani ya Justine Chamashine aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua dereva wa bodaboda, Joseph Frorence 'Msimbe'. Uamuzi huo ulitolewa wiki iliyopita na Jopo la Majaji watatu likiongozwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma. Majaji...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

    Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja Nitamtaka achague moja kati ya haya: (a) Aingie...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sauna, Bodaboda vinavyosababisha Ugumba

    Vijana hususani wanaume wallo kwenye umri wanaotarajia kupata watoto, wameshauriwa kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya kuoga katika sauna ikielezwa kuwa kiwango cha joto kwenye bafu hilo ni moja ya sababu za ugumba. Kadhalika, madereva wa bodaboda wakiwamo waende-sha vyombo vya moto...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lawataka Bodaboda kushiriki mafunzo ya udereva

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amewataka madereva Bodaboda wa Jijini Mbeya kushiriki mafunzo ya udereva katika vyuo vilivyosajili na kutambulika kisheria na kuhitimu ili waweze kupata leseni ya udereva. Ameyasema hayo Aprili 03, 2023 katika kikao kazi cha uongozi wa...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wanawake Pemba wakerwa na tabia za madereva Bodaboda kuwashikashika

    Abiria Wanawake Kisiwani Pemba, wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa pikipiki ‘boda boda’ kuwaingia mwilini wakati wanapokuwepo kwenye vituo vyao, kutaka usafiri wa aina hiyo. Walisema mara unapofika kwenye eneo lao la vituo na kutaka usafiri, huvamiwa na kuanza kukukopea mizigo na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi Bodaboda wanazigawa bure kama peremende?

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji. Akizungumza na vijana wa Ruangwa kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki hizo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya CWT...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tarime: Askari Polisi ashikiliwa akidaiwa kumuua dereva bodaboda kwa risasi, RPC asema Askari anastahili kuwajibika

    Jeshi la Polisi linamshikilia askari wake mwenye utambulisho wa H 4489 PC Kululetela, kutokana na kosa la kumfyatulia risasi iliyomjeruhi hadi kumsababishia mauti mwendesha bodaboda, Ng'ondi Marwa (22), mkazi wa mjini Tarime. Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Polisi Tarime Rorya, ACP Geofrey...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Serikali itangaze dau ili kupata suluhu katika maboresho ya usalama wa bodaboda

    Lema aliibua hoja ya msingi sana ambayo wahuni wameifunika katika propaganda nyepesi kwamba alisema kazi ya bodaboda ni laana. Hilo ni kwa mtazamo wake, lakini kwa upande wangu mimi siwezi kuiita laana maana inalisha familia za watu, kusomesha na kujenga, ni ajira kama ajira nyingine...
  13. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma kuvaa kiraia, kuendesha pikipiki za kiraia na kuvizia bodaboda ni njaa au?

    Wakuu ni njaa kali sana au ni nini nimeshuhudia polisi Dodoma wamevaa kiraia wanaendesha pikipiki za kiraia wanavizia bodaboda na kuchukua rushwa nimewaona leo hapa Area C nikashangaa ndio utaratibu wa kazi ulivyo sasa hivi!
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi

    Dar es Salaam. Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Madereva bodaboda msipojali usalama wenu hakuna atakayewajali

    Mara kadhaa Serikali kwa kushirikiana na wadau wengine wa usalama barabarani wamekuwa wakihimiza madereva bodaboda kuvaa kofia ngumu (helmet) wawapo barabarani Ili kuwanusuru na ajali zinapotokea. Licha ya kuhimizwa baadhi ya madereva bodaboda Dodoma wamekuwa ni kama sikio la kufa lisililo...
  16. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

    Nimekulia Moshi Kilimanjaro, yeah kuna vijana wanakimbia na pikipiki mitaa ya Kalimani, kaloleni kule na njoro. Nimekaa Dar kidogo yes kuna vijana wanajitahidi kukimbia na pikipiki Ila Arusha hapana vijana kama hawana Roho na nyama, yaani pikipiki unasikia imepita kama mlio wa nyuki halafu sio...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

    Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini. "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
  18. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Watanzania mmeridhika kabisa na ajira za bodaboda na mnaona zinawafaa?

    Hakika ccm imetushika akili sana yaani lema anajaribu kuwatoa tongotongo watu lakini yeye ndo anaonekana mbaya. Hivi sisi waafrica ni nani alituloga? Au ni elimu zetu hafifu ambapo hatujui hata Nini chenye manufaa kwetu na ni haki yetu kuipata unless rais hayupo kwa ajiri ya maslahi yetu Bali...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kama siyo kukihujumu chama kimaridhiano, nitakuwa wa mwisho kuamini Lema na CHADEMA wana ajenda ya kuifuta Bodaboda

    Sikutaka kuchambua hili, sikutaka kuchambua kwasababu namheshimu sana Godbless lema! Nikiongozi mzuri na amekuwa na maono mengi mazuri! Pamoja na yote hayo! Namna Lema alivyoanzisha kampeni ya kupinga bodaboda na vikoba kakengehuka kidogo! Anayo nia njema kabisa kiufupi ingekuwa ni wimbo basi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Takwimu za MOI zinaonesha Lema yupo sawa kuhusu "laana" ya bodaboda

    Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi nzima ni zaidi ya vijana 1500 huumizwa vibaya kwa mwezi sawa na zaidi ya vijana 15,000 kwa mwaka...
Back
Top Bottom