BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,712
Reaction score
4,989
Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote

Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji wasio na roho ya utu.

MWISHO,Bodaboda mlikuwa maeneo ya tukio mhame kwa usalama wenu maana watekaji wanahasira sana hata polisi wakiomba ushirikiano kataeni ndio hao hao

Inakuaje pingu za watekaji polisi wamiiiki funguo za pingu husika?
 
Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao djumbe tusingemuona tena
bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote
Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji wasio na roho ya utu.
MWISHO,Bodaboda mlikuwa maeneo ya tukio mhame kwa usalama wenu maana watekaji wanahasira sana hata polisi wakiomba ushirikiano kataeni ndio hao hao
Inakuaje ping za watekaji polisi wamiiiki funguo za pingu husika?
acha unafiki gentleman,
ile ilikua drama tu 🐒
 
Lema alisema bodaboda ni kazi ya laana 🤣🤣🤣
Leo walaniwa wametoa msaada.
 
Back
Top Bottom