bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Songolo: Hakuna bodaboda aliyefunga bendera ya chama kwenye Kampeni bure, tuliwalipa walikuwa kwenye biashara

    Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema waendesha bodaboda walioshiriki katika kampeni za vyama vya siasa hawakufanya hivyo bure, bali walilipwa kwa huduma zao kama sehemu ya shughuli za kibiashara. "Nilikuwa namsikia mbunge mmoja juzi anazungumza kwenye bunge, kwamba hawa watu [Bodaboda]...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda, Maduka, Garage, Machinga Waliopo Bara mnataka Rais awatoe?

    Wimbi la uvamizi wa hifadhi za barabara (road reserve) jijini Dar es Salaam linazidi kushamiri, huku wafanyabiashara, mama lishe, na madereva wa bodaboda wakikiuka sheria kwa kufanya biashara na kupita kwenye maeneo hayo. Tabia hii inachangia uharibifu wa miundombinu, ongezeko la ajali, na...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mbunge azomewa na bodaboda Mbeya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu. Fwanda...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Uliona wapi Bodaboda anafundishwa chuo kama sio wizi wa Kijinga, ni nini?

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameikosoa mfumo wa utoaji wa leseni kwa waendesha bodaboda, akidai kuwa gharama zinazohusiana na mafunzo na upatikanaji wa leseni ni kubwa na zinawaumiza vijana wengi wanaojishughulisha na biashara hiyo. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025...
  6. chakii

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mgambo Kariakoo wanatumia kigezo cha 'faini' kuomba rushwa kwa Bodaboda na Bajaj

    Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja. Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
  8. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya Bodaboda isifutwe? Ni kimbilio la waliofeli, wanajazana mochwari na wazalishaji wa wajane mtaani

    Bodaboda Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini Mada Wakuu, habari za muda huu. Leo nataka niteme nyongo kuhusu hawa viumbe wanaoitwa Bodaboda. Kiukweli hii sekta emekuwa dambo la takataka, yaani kimbilio...
  9. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Hivi bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe anapata faida au ni miyeyusho Tu?

    Hivi jamani bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe Inaweza ikawa inamlipa au ni miyeyusho Tu ? Nifikirie kitu kingine cha kufanya .
  10. Think2

    JamiiForums Tanzania BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

    Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji...
  11. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi kuhusu bodaboda wa Jumbe...

    Ombi kwa Chadema ingefaa na ingeleta maana kitaifa kuwajali wale bodaboda . Kama itakuwa vema zile pesa mlizokusanya kule shinyanga muwagawie kama kifuta jasho hata kama ni 500 muwape itawajenga bodaboda wengine kujitolea pindi mtu anapoomba msaada . Hawa bodaboda wana umoja sana kama wangekuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  14. S

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ndo watu wenye IQ ndogo zaidi

    Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli Kwa mfano huku dar hii morogoro Road unakuta kibodaboda kimebeba watu wawili mobonge lakini kinavyopita katikat ya malory hadi...
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania At least sisi bodaboda hatutafikiwa na AI, wasomi mjiandae kuwa jobless

    Nasikitika sana kuwatangazia wasomi, na wasomi wanaokuja, ivi imagine era hii ya 2026, mtu anaenda kusoma software engineering, Bora anaesoma computer science anaweza kujikita kwenye hardware akawa fundi simu/laptop. Wakati huu AI inaweza kutengeneza website au application yoyote ile vizuri na...
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

    Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup. 1. Human resources management 2. Business Administration 3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini) 4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe) 5. Records...
  17. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Bodaboda amuua kwa kumchoma kisu aliyekuwa mpenzi wake muuguzi msaidizi hospital ya wilaya ya Same

    Muuguzi msaidizi wa Hospitali ya Mji Same, Asha Bakari (25), amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni na mpenzi wake usiku wa katika makazi ya watumishi wa hospitali hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo yanayohusishwa na wivu wa mapenzi...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Brigadier General Hassan Hassanzadeh aliyetangazwa kufariki aonekana hadharani akiwa kwenye bodaboda

    kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa Brigadier General Hassan Hassanzadeh aliyetangazwa na Wateule kuwa wamemuuwa kwenye shambulio la Mwezi Machi aonekana hadharani kwenye Maandamano akiwa kwenye Bodaboda Juzi usiku...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya “Vijana wa Subaru & Crown” na “bodaboda” haipo!

    Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown” Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na wakakutana na chuma Uso kwa uso. Ukiangalia Barabara za TANROAD , hakuna ya kuendesha zaidi ya...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wapo tayari Kwa maandamano 7 April, 2026

    Baada ya kupanda bei ya mafuta kutoka 3000 hadi 4000 Nchi hii ina vijana zaidi ya milion 15 waliojiijiri katika shughuli za bodaboda. Mliwaaminisha bodaboda ni kazi rasmi na ajira Leo wapo vijiweni wanaliwa na njaa Mliwatumia vya kutosha kwenye kampeni zenu kunogesha misafara, Leo...
Back
Top Bottom