bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inavyowashawishi na kuwabugudhi bodaboda kuhusu maandamano, inawamiliki?

    Matamko yalianza mkoa kwa mkoa kuanzia na wakuu wa polisi mikoa kuwaita bodaboda na bajaji na kuanza kuwaonya kuhusu maandamano ya D9. Hao si watu huru? Hao si wajasiriamali? Hao si watu wazima? Mbona kuwatesa kwa kujifanya mnawashauri. Mmechangia kiasi gani kuboresha maisha yao? Hawana ndugu...
  2. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa wenzenu wa Rwanda.

  3. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Video: Gari la polisi Arusha limekanyaga bodaboda na kuendelea na safari zake kama kawaida

    Wakuu, Hivi kwanini lakini Polisi wana-treat Watanzania kama Wanyama wa Porini?
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Tarime wanakiwasha, bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi

    Huko Tarime wenzetu wapo mbele ya muda sana, Asubuhi ya leo bodaboda wamewasha moto baada ya kuchoka manyanyaso ya Polisi.
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Tarime: Bodaboda dumisheni na kuilinda amani ya nchi hii

    Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda. Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi? ================= Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda watakiwa kulinda Amani Ili kuendeleza shughuli zao kwa Uhuru na Ufanisi

    Kama mnavyowapa elimu hii kipindi cha uchaguzi kwa nguvu kubwa, basi mafanye hivyo pia kuwapa elimu ya usalama barabarani katika kufuata sheria. Maana kila siku visa vya bodaboda kupata ajali vimekuwa vingi. =================== Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wametakiwa kutunza na...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda na Machinga waahidi kutokuwa chanzo cha kuvunja Amani

    Makundi ya waendesha bodaboda na wamachinga yamezunguka katika mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam ikiwemo Posta, Kisutu, Kivukoni, Kariakoo, Karume, na Buguruni, yakihamasisha wananchi kulinda amani na kujitokeza kupiga kura siku ya tarehe 29 Oktoba. Akizungumza na waandishi wa habari...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Bodaboda Arusha wapo 'Lokapu' wakituhumiwa kula hela za kempeni za chama cha Siasa

    VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Singida: Kiongozi BAVICHA, Bodaboda Watekwa DC Atoa Msimamo

    https://www.instagram.com/p/DPcBlpUAono/?igsh=Ym9xc2VkZHB0MGNo
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaniki: Mkinichagua nitashughulikia Mgambo kuwakamata Bodaboda na Kero ya michango Shuleni kwa wazazi

    Mgombea Udiwani Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, Jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Selemani Kaniki ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa elimu kwa Jeshi la akiba (Mgambo) kufuata taratibu za kisheria katika ukamatamaji wa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda huko...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nazo kutoka kwa bodaboda? Kenya yaja na sheria mpya kupunguza changamoto hizo

    Serikali ya Kenya, imeanzisha sheria mpya kudhibiti sekta ya boda boda kutokana na kuongezeka kwa ajali na uhalifu unaohusishwa na waendeshaji wa pikipiki, ikiwemo visa vya kuchoma magari baada ya ajali na mashambulizi ya wahalifu wanaotumia pikipiki. Sheria hizo zinataka waendeshaji wote wawe...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Kibamba aahidi kuboresha maslahi ya Bodaboda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, mkoani Dar es Salaam, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 2, 2025, akiwa katika Kata ya Saranga, ameahidi kuboresha maslahi ya waendesha bodaboda endapo atapewa nafasi ya kuwakilisha wananchi wa jimbo hilo bungeni...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Makini waahidi kutoa bodaboda milioni 1 kwa vijana endapo watashika dola

    Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa bodaboda zaidi ya milioni moja ili kuwapatia ajira vijana. Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais Zanzibar atinga na Bodaboda kuchukua fomu

    Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninaungana na mwana JamiiForums aliyesema anayeendesha bodaboda na abiria wake wote hawana akili timamu

    Mimi naishi Mvuti, ni mbali kidogo mpaka kufika mjini ila barabara yote ni mkeka mpaka mjini ninakofanyia kazi. Barabarani nimeona sana damu za bodaboda na abiria wao. Ukiona watu wamezunguka na mtu kafunikwa mtandio tayari aidha bodaboda au abiria wake hana uhai. Siku moja niliona utumbo wa...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na bajaji zimesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uhalifu nchini, vijana wengi wamestaarabika

    Bodaboda na bajaji zimesaidia kutoa ajira kwa vijana wengi hapa nchini hivyo imepunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya kiuhalifu (ukabaji) hapa nchini kulinganisha na miaka ya nyuma ambapo vijana ajira walikuwa hawana na hawana namna ya kupata pesa zaidi ya kuiba na kupora(kukaba) . Pia...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  18. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?). Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunashindwaje kuandaa wealth generation kama Rockefeller Family , ili watoto wetu wasiishie kuwa vibarua au bodaboda!

    Ukisoma historia ya Rockefeller Family . Unaona kabisa lipo swala la kujifunza sisi watu weusi au blacks. Juzi nimeangalia Familia ya Job Ndugai naona kabisa Changamoto. pamoja na ukwasi wa Ndugai Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mamalishe, babalishe na bodaboda waungana kumdhamini mgombea urais wa CCM Samia Suluhu Hassan

    Wajasiriamali wadogo wakiwemo mamalishe, babalishe na vijana wa bodaboda mkoani Arusha leo Jumanne Agosti 12, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumuunga mkono na kumdhamini mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi...
Back
Top Bottom