Bodaboda ndo watu wenye IQ ndogo zaidi

Bodaboda ndo watu wenye IQ ndogo zaidi

shenzii

Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
64
Reaction score
199
Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli

Kwa mfano huku dar hii morogoro Road unakuta kibodaboda kimebeba watu wawili mobonge lakini kinavyopita katikat ya malory hadi unaogopa hawa jamaa wakishapiga honi wanaona wamemaliza na siku hiz wanafunga yale Mason makubwa.Unajiuliza iv huyu akivunjiaka si ndo mambo ya kusumbua ndugu coz hawanaga hata hela hawa .
Haya ajali ikitokea hasa inayomhusu bodaboda mwenzao hawatakagi kujua chanzo wenyew ni fujo tu na kuanza kukuibia wengi ni vibaka pia. Kama ajali haihusu boda basi watajazana hapo wwngi lengo sio kutoa msaada ni kutafuta chochote kitu sim waleti nk .Wengi muda wote wapo tungi na miharufu ya bangi na misigara ni kama watu waliokata tamaa kabisa kupitia boda wwngi ssana washakuf kizembe au kuwa vilema kiukweli hii sio kazi

Hivyo basi kijana ukishamaliza 4m 4 au chuo kuliko kujishikiza kwenye boda boda huku ukitafuta kazi bora ufanye kazi nyingine ..jifunze basi hata ufundi wa hayo mabodaboda kama unayapenda san, unaweza kujifunza ufundi sim ,carpenter, au ufundi wa hiz aluminum mbona fursa ni nyingi tu jamani kwan lazima uwe boda acha kurisk maisha kirahisi hivo ubaya wa hii kazi unaingia ukiwa mzima ila unaenda kubadilikia huko unakua mwehu mfano ...yule kijana aliyepata msaada kupitia esko angekua boda asingepata vijana bodaboda sio kazi kuingia rahisi kutoka ni ngum sana

Nb : Bodaboda ni kweli ni kazi ya laana
 
Kuna mmoja kaanguka juzi alkua peke yake lakini anavyo kimbiza utazani ana enda mbali. Kwa taarifs nilizo nazo ni kwamba dogo damu ili vujia kwenye ubongo hadi saiv yupo hospital ni kama kawehuka
 
Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli

Kwa mfano huku dar hii morogoro Road unakuta kibodaboda kimebeba watu wawili mobonge lakini kinavyopita katikat ya malory hadi unaogopa hawa jamaa wakishapiga honi wanaona wamemaliza na siku hiz wanafunga yale Mason makubwa.Unajiuliza iv huyu akivunjiaka si ndo mambo ya kusumbua ndugu coz hawanaga hata hela hawa .
Haya ajali ikitokea hasa inayomhusu bodaboda mwenzao hawatakagi kujua chanzo wenyew ni fujo tu na kuanza kukuibia wengi ni vibaka pia. Kama ajali haihusu boda basi watajazana hapo wwngi lengo sio kutoa msaada ni kutafuta chochote kitu sim waleti nk .Wengi muda wote wapo tungi na miharufu ya bangi na misigara ni kama watu waliokata tamaa kabisa kupitia boda wwngi ssana washakuf kizembe au kuwa vilema kiukweli hii sio kazi

Hivyo basi kijana ukishamaliza 4m 4 au chuo kuliko kujishikiza kwenye boda boda huku ukitafuta kazi bora ufanye kazi nyingine ..jifunze basi hata ufundi wa hayo mabodaboda kama unayapenda san, unaweza kujifunza ufundi sim ,carpenter, au ufundi wa hiz aluminum mbona fursa ni nyingi tu jamani kwan lazima uwe boda acha kurisk maisha kirahisi hivo ubaya wa hii kazi unaingia ukiwa mzima ila unaenda kubadilikia huko unakua mwehu mfano ...yule kijana aliyepata msaada kupitia esko angekua boda asingepata vijana bodaboda sio kazi kuingia rahisi kutoka ni ngum sana

Nb : Bodaboda ni kweli ni kazi ya laana
Nadhani usahihi ni kwamba ...uwezo wa kufikili na kufanya maamuzi sahihi upunguaa pale tu unapoanza kuendesha bodaboda.
 
Kuwazidi wagonga meza kule mjengoni? Wabongo wote tunafanana tu mtazame kabudu alipokuwa mwalimu na leo chawa, then muangalie na bashuru alipokuwa kafu na alipoitwa kwenye meza ya ugali na jiwe ndio utajua wabongo wote ni imbeciles tu, hamna cha bodaboda wala doktori au prof magwembe
 
Back
Top Bottom