A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).
Bujibuji najua huwa hupendi personal life iwe exposed, lakini kwa umuhimu wako hapa Jukwaani, niona nikutakie heri wee na Wana JF wote mnaoadhimisha siku yenu ya kuzaliwa leo.
Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar.
Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
----------------------------------------------------------------
By Mzee wa Atikali
Sunday, January 23, 2022
1. Introduction
The late Prof. Benno Joseph Ndulu was born on Monday, January 23, 1950 in Ifakara, Kilombero, Morogoro. He was baptised on Monday, February 20, 1950 at St Andrew's...
Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu.
(Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu!
Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu.
You are the HERO!
Ule mkono wa Mungu...
===
Kila lenye heri Mzalendo wa kweli wa Taifa hili Rais Dkt Hussein Ally Mwinyi.
Mungu akupe miaka mingi zaidi ya baraka na furaha ili uwatumikie zaidi na zaidi masikini wa Taifa hili wa Visiwani na bara,
Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga.
Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
Kwako nyonga mkalia ini,mwenye mapenzi yasiyo kifani!
Usoni yanijia sura yako nzuri yenye tabasamu la mtoto mchanga!,Naam hakika umezaliwa wa huba!.
Ningependa nikutakie heri ya siku yako yakuzaliwa nikufunike kwa namba yako kumi na moja katika mwezi huu wa kumi na moja na mwaka huu wa...
Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.
Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana 🙄🙄) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young...
HUYU NDIYE ASKOFU MKUU DESMOND TUTU
Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu, Askofu Mkuu mstaafu wa Capetown, Kanisa Anglikana Afrika Kusini na Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Makanisa ya Afrika Kusini. Kupitia sauti yako dunia ilielewa uovu na...
Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa!
Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa!
Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu...
Tarahe 29 February hutokea mara moja kila baada ya miaka minne. Sasa basi kama utazaa mtoto siku hiyo, ina maana mtoto huyo atakuwa na birthday celebrations mbili tu kabla ya kuwa teenager, na inaweza kumuathiri kisaokolojia iwapo ataona wenzie wana birthday parties kila mwaka na yeye inabidi...
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo
What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa mwaka katikati kabisa bila kupunja upande mmoja, what a blessing kuzaliwa siku kama ya leo.
Wale...
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya upendeleo..Sifa,Shukrani na Utukufu ninakupa wewe uketie mahali Patakatifu..Amen
Happy birthday 🎈🎊🎉🎁🎂 to me kwa mara nyingine tena.
Happy birthday y’all team Gemini 🥂🥂🧚♀️🧚♀️
Chakorii
Hello guys
Nawashukuru wanajf wote walio pamoja nami katika lolote liwe zuri liwe baya Mungu awabariki wapendwa. Pia, nawale wote walioikomaza akili yangu positively or negatively shukrani sana.
Bila kuwasahau wafukua makaburi seriously huwa mnanihahahaha na kuniremind sometimes. Sambamba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.