A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena.
Nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani.
Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kunilinda pamoja na mapungufu mengi ninayo mtendea kwa namna yeyote ile.
Na...
Anayeelewa hili fumbo.
Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa.
Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili.
SWALI
Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
Helloowww guyss!!!
Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday!
Mary God bless you and grant you many more years to celebrate!
Happy birthday Bantu Lady
Leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa nashukuru ni mzima wa afya maana katika familia yetu watu wanakufa kabla ya tarehe ya siku ya ya kuzqliwa kabla ya siku tatu au mbili na mimi pia wiki ilio isha mambo yalikuwa mengi ya kuvuruga akili naona shetan alikuwa kazini ila Mungu mwema
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Kwa chakorii..
Karibu tusheherekee pamoja na Gemini.
Kama na wewe unasheherekea birthday yako leo tafadhali mguse Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa.Tembelea watoto yatima watu waishio katika mazingira magumu,,kula nao mfurahi.
Mungu akubariki utoapo na upokeapo...
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu.
Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me.
Intelligent...
May 20 Mohammed wa 5 nililetwa kwenye dunia hii...Asante Sana familia, baba na mama kwa upendo wenu mpaka leo nilipofika..pole Sana mama angu kwa yote uliyoyapata baada ya kunileta duniani miaka 2 ulikuwa mtu wa kuumwa na kuteseka nakupenda Sana.
Happy birthday to me Mohammed wa 5
Habarini Wadau wangu wa nguvu
Ni jambo la kumshukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa nafasi hii ya upendeleo kwangu kunitoa duniani tarehe kama yale nakumbuka nilivyotokea na amenipa afya tele ingawaje nina kahoma na kifua kuuma [sijui ndo korona hii shindwa} nafurahia kufikia siku hii muhimu...
Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu)
Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau hata kuingia humu JF hahaaaaaaaaaa.
Chachu jisikie kupendwa kwa namna hii hata kama hujaona...
Kipindi cha siku, Mwezi au mwaka kwa bindamu mkamilifu ni muda mrefu sana wa maisha yake.
Mtoto wangu leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake.
Mapito ya magonjwa, na kama binadamu mwingine unakwama kununua nguo mpya walau kila siku kwa mtoto, baby diapers, hata mara zingine hela ya...
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula...
Kwema Wakuu!
Ninafuraha kubwa katika siku hii ya leo.
Hii ndio siku ambayo nilizaliwa. Ndimi Taikon wa Fasihi, Mnyanyembe wa Tabora.
Nawashukuru wote mliokuwa baraka kwangu, lakini pia nawashukuru wale mliogeuka changamoto kwangu,
Mnisamehe wale wote niliowakosea Kwa namna moja ama nyingine...
Nimezaliwa familia ya kishua sana tena sana yaani mimi kwa sasa kumiliki bilioni kadhaa kwenye akauti kwenye akauti yangu is not big issue naenda London kama wewe unavyoenda huko kwenu kwa mtogole au unavyoenda kwenu maganzo au unavyoenda huko kwenu maji kuinama ukienda na mabasi yanayovuja huko...
Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena.
Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa.
Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.