bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  2. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nabi 'chali' Klabu Bingwa Afrika

    Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya Tunisia. FAR Rabat wamepigwa nje-ndani baada ya kupoteza kwa 1-0 na 1-2 kwa mechi za ugenini na...
  3. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

    Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa. Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa ndondi, kipindi bondia Tyson bingwa wa dunia kulikuwa na mapambano ya utangulizi kabla ya pambano lake!!?

    Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha. Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
  5. galimoshi

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

    Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo. Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

    Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.
  7. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  8. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  9. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

    Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha...
  10. L

    JamiiForums Tanzania ‘Mtego wa madeni’ ni nyenzo ya propaganda inayotumika na jopo la washauri bingwa wa nchi za Magharibi

    Mwaka huu ni wa 10 tangu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika miaka hii 10, ushirikiano kati ya China na nchi zilizo katika njia ya Ukanda Mmoja na Njia Moja zimefaidika kwa kiasi kikubwa. Mwenyekiti wa Taasisi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja ya...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Upekee tunaoutaka wana Simba SC ni kuwa Bingwa wa CAFCL na Super League siyo kuzindua Jezi Mlima Kilimanjaro

    Sijaona bado ulazima huo wa kujihangaisha kwenda kileleni Mlima Kilimanjaro na kuzindua jezi zetu Simba SC ili tu kufunika tukio la Yanga SC la wao kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais wawili wa Malawi na Tanzania. Na si lazima kila Yanga SC ikija na kitu kipya cha ubunifu basi na sisi...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

    Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini. Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi...
  13. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu hapa yanga bingwa mara 29

    Kutokana na Mjadala alio Uanzisha zakazakazi Afisa habari wa Azam FC. Kuwa Yanga sio Bingwa Mara(29)bali Yanga ni Bingwa Mara(22)na Simba bingwa Mara 21. Mjadala Umekuwa Mkubwa Wengi wakikosoa ya Kuwa zakazakazi Kahamua Kukaza Fuvu tu. Ukweli ni Kwamba Mimi Muandishi wajuzi tu hivyo historia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchini Wachezaji wa Timu Bingwa hawajumuiki na wenza wao wakati wa kukabidhiwa kombe?

    Sijawahi kuona hii, shida ni nini? Kule mamtoni ni kawaida sana wachezaji kujumuika na wapenzi wao wakati wa kukabidhiwa kombe.
  15. M

    JamiiForums Tanzania SIMBA CHAGUENI MOJA KUISAPOTI YANGA ISHINDE MCHEZE KLABU BINGWA AMA AZAM ISHINDE MCHEZE SHIRIKISHO

    Ni dhahiri mshindi wa kombe la FA anaungana na mshindi wa ligi kuu kucheza klabu bingwa barani Africa na mshindi wa pili ligi kuu anaungana na mshindi wa 3 na wa 4 kucheza shirikisho, kwa maana iyo simba wachague upande kujielekeza kibra ni moto kote kote! Kazi kwao
  16. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Yanga imetoa funzo kubwa kwa Simba na wengineo. Italiandika tena kwenye msimu ujao wa Klabu Bingwa?

    Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni. Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

    Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira! Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni udaktari bingwa" kwaajili ya magonjwa sugu na wagonjwa mahututi"

    UKRISTO NI UDAKTARI BINGWA" KWAAJILI YA MAGONJWA SUGU NA WAGONJWA MAHUTUTI" Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Nami ni shahidi, mwonaji, Mtibeli ambaye ninayashudia haya. Wala sio kwaajili yangu Bali kwaajili yao watafuta Njia, Njia iliyochongwa na watangulizi...
  19. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Acheni kujiweka fight mode mpaka sasa Yanga ni Bingwa

    Yanga hoyee, Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali. Kama hautaki, andamana
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu anayotumia Mnyama ili Yanga asiwe Bingwa caf confederation cup, inatisha!

    Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno. Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
Back
Top Bottom