Upekee tunaoutaka wana Simba SC ni kuwa Bingwa wa CAFCL na Super League siyo kuzindua Jezi Mlima Kilimanjaro

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Sijaona bado ulazima huo wa kujihangaisha kwenda kileleni Mlima Kilimanjaro na kuzindua jezi zetu Simba SC ili tu kufunika tukio la Yanga SC la wao kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais wawili wa Malawi na Tanzania.

Na si lazima kila Yanga SC ikija na kitu kipya cha ubunifu basi na sisi Simba SC tuanze kulazimika kutafuta tukio la kuwafunika Yanga SC na tuzungumzwe Simba SC tu.

Haya tumejipanga na hadi kutangaza kuwa Jezi zetu Simba SC tunaenda kuzindulia kileleni Mlima Kilimanjaro na tukio kuwa televised na Azam TV. Je, ikitokea siku hiyo hali ya hewa ya huko Mlimani ikabadilika na kuwa mbaya au si rafiki hizo jezi zetu tutazindundulia wapi?

GENTAMIYCINE naheshimu mno ubunifu wa matukio mbalimbali ya Simba SC na napenda kuona ubunifu zaidi ila sipendi ubunifu wa kishamba, kienyeji na wenye mhemko. Kwani mnaweza kudhani mnaing'arisha Simba SC kimatukio, kumbe ndiyo mkawa mnatuanika wana Simba SC wote (GENTAMIYCINE nikiwemo) kuwa ni 'mapimbi' kweli kweli na tukaanza kuchekwa na watani zetu Yanga SC.

Na nimetoka kutizama weather forecast ya Ijumaa ijayo, siku ya tukio itakuwa ni baridi kali na mawingu kule kileleni hivyo naona kabisa kama Msemaji wetu Simba SC Ahmed Ally ndiyo atapanda kule juu na jezi zetu mpya anaweza asirejee mazima, huku camera man wa Azam TV nae Pumu (Asthma) ya ghafla kumkamata na kushindwa kuchukua matukio yote muhimu.
 
Sijaona bado ulazima huo wa Kujihangaisha kwenda Kileleni Mlima Kilimanjaro na Kuzindua Jezi zetu Simba SC ili tu Kufunika tukio la Yanga SC kwa Wao Kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais Wawili wa Malawi na Tanzania.

Na si lazima kila Yanga SC ikija na Kitu kipya cha Ubunifu basi na Sisi Simba SC tuanze Kulazimika kutafuta Tukio la Kuwafunika Yanga SC na tuzungumzwe Simba SC tu.

Haya tumejipanga na hadi Kutangaza kuwa Jezi zetu Simba SC tunaenda Kuzindulia Kileleni Mlima Kilimanjaro na Tukio kuwa televised na Azam Tv je, ikitokea Siku hiyo hali ya Hewa ya huko Mlimani ikabadilika na kuwa mbaya au si rafiki hizo Jezi zetu tutazindundulia wapi?

GENTAMIYCINE naheshimu mno na sana Ubunifu wa Matukio mbalimbali ya Simba SC na napenda kuona Ubunifu zaidi ila sipendi Ubunifu wa Kishamba, Kienyeji na wenye Mhemko kwani mnaweza kudhani mnaingarisha Simba SC Kimatukio kumbe ndiyo mkawa mnatuanika wana Simba SC wote (GENTAMIYCINE nikiwemo) kuwa ni 'Mapimbi' kweli kweli na tukaanza Kuchekwa na Watani zetu Yanga SC.

Na nimetoka kutizama Weather Forecast ya Ijumaa ijayo Siku ya Tukio itakuwa ni Baridi Kali na Mawingu kule Kileleni hivyo naona kabisa kama Msemaji Wetu Simba SC Ahmed Ally ndiyo atapanda kule juu na Jezi zetu mpya anaweza asirejee mazima, huku Cameraman wa Azam Tv nae Pumu ( Asthma ) ya ghafla Kumkamata na Kushindwa kuchukua Matukio yote muhimu.
Acha Nongwa wenzio wanataka "kufika kieleleni".
 
360039614_2336211166582313_6131464884946071109_n.webp.jpg
 
Sijaona bado ulazima huo wa Kujihangaisha kwenda Kileleni Mlima Kilimanjaro na Kuzindua Jezi zetu Simba SC ili tu Kufunika tukio la Yanga SC kwa Wao Kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais Wawili wa Malawi na Tanzania.

Na si lazima kila Yanga SC ikija na Kitu kipya cha Ubunifu basi na Sisi Simba SC tuanze Kulazimika kutafuta Tukio la Kuwafunika Yanga SC na tuzungumzwe Simba SC tu.

Haya tumejipanga na hadi Kutangaza kuwa Jezi zetu Simba SC tunaenda Kuzindulia Kileleni Mlima Kilimanjaro na Tukio kuwa televised na Azam Tv je, ikitokea Siku hiyo hali ya Hewa ya huko Mlimani ikabadilika na kuwa mbaya au si rafiki hizo Jezi zetu tutazindundulia wapi?

GENTAMIYCINE naheshimu mno na sana Ubunifu wa Matukio mbalimbali ya Simba SC na napenda kuona Ubunifu zaidi ila sipendi Ubunifu wa Kishamba, Kienyeji na wenye Mhemko kwani mnaweza kudhani mnaingarisha Simba SC Kimatukio kumbe ndiyo mkawa mnatuanika wana Simba SC wote ( GENTAMIYCINE nikiwemo ) kuwa ni 'Mapimbi' kweli kweli na tukaanza Kuchekwa na Watani zetu Yanga SC.

Na nimetoka kutizama Weather Forecast ya Ijumaa ijayo Siku ya Tukio itakuwa ni Baridi Kali na Mawingu kule Kileleni hivyo naona kabisa kama Msemaji Wetu Simba SC Ahmed Ally ndiyo atapanda kule juu na Jezi zetu mpya anaweza asirejee mazima, huku Cameraman wa Azam Tv nae Pumu ( Asthma ) ya ghafla Kumkamata na Kushindwa kuchukua Matukio yote muhimu.
Niwapongeze simba kuamua kutangaza jezi yao mlima kilimanjaro maana simba kwa sasa ni club kubwa na inatazamwa na watu wengi dunia kwa kufanya hivyo itavutia watalii wengi kuja kutalii mlima kolimanjaro##kumbuka miaka ya nyuma watalii wengi walikuwa wakidhani mlima huu upo kenya kitu ambacho sivyo ndivyo pongezi kwa simba kwa jambo hili
 
Sijaona bado ulazima huo wa Kujihangaisha kwenda Kileleni Mlima Kilimanjaro na Kuzindua Jezi zetu Simba SC ili tu Kufunika tukio la Yanga SC kwa Wao Kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais Wawili wa Malawi na Tanzania.

Na si lazima kila Yanga SC ikija na Kitu kipya cha Ubunifu basi na Sisi Simba SC tuanze Kulazimika kutafuta Tukio la Kuwafunika Yanga SC na tuzungumzwe Simba SC tu.

Haya tumejipanga na hadi Kutangaza kuwa Jezi zetu Simba SC tunaenda Kuzindulia Kileleni Mlima Kilimanjaro na Tukio kuwa televised na Azam Tv je, ikitokea Siku hiyo hali ya Hewa ya huko Mlimani ikabadilika na kuwa mbaya au si rafiki hizo Jezi zetu tutazindundulia wapi?

GENTAMIYCINE naheshimu mno na sana Ubunifu wa Matukio mbalimbali ya Simba SC na napenda kuona Ubunifu zaidi ila sipendi Ubunifu wa Kishamba, Kienyeji na wenye Mhemko kwani mnaweza kudhani mnaingarisha Simba SC Kimatukio kumbe ndiyo mkawa mnatuanika wana Simba SC wote ( GENTAMIYCINE nikiwemo ) kuwa ni 'Mapimbi' kweli kweli na tukaanza Kuchekwa na Watani zetu Yanga SC.

Na nimetoka kutizama Weather Forecast ya Ijumaa ijayo Siku ya Tukio itakuwa ni Baridi Kali na Mawingu kule Kileleni hivyo naona kabisa kama Msemaji Wetu Simba SC Ahmed Ally ndiyo atapanda kule juu na Jezi zetu mpya anaweza asirejee mazima, huku Cameraman wa Azam Tv nae Pumu ( Asthma ) ya ghafla Kumkamata na Kushindwa kuchukua Matukio yote muhimu.
🤣🤣🤣Hili jamaa likituliaga linamwaga nondo kweli ila siku aamke vbaya sasa unaoga matusi na hoja mdebwedo zisizo na mashiko. Leo nakupa kongole
 
Si Kila Jambo ni la kuzungumza ...mambo mengine unayaacha yapite
#ni wazo zuri kuzundua jezi mlima mrefu afrika ...mlima Kilimanjaro ni taa kwa simba itawaangazia popote waendapo katika miangaiko yao
SIMBA NGUVU MOJA
Ona hili kolo nalo... Mtapelekeshwa mpk mkome
 
Ndugu, acha Simba wakapande Mlima Kilimanjaro. Acha wakapande ili kuzindua jezi yao kwa sbabu yanga wamezindua nchini Malawi mbele ya maraisi wawili.

Usisahau Simba na Yanga ni washindani, hivyo hii ni nafasi yao Simba nao kujibu mapigo kiushindani. Hizi ni club za michezo na hivi ni vituko vya kimichezo, michezo ni ubunifu kutafuta mashabiki, kutafuta kujulikana kutafuta umaarufu na kumshinda mshindani wako.

Michezo pia kuna fitina na kebehi na kurushana roho. Wacha Simba wakapande Mlima Kilimanjaro.
 
Sijaona bado ulazima huo wa Kujihangaisha kwenda Kileleni Mlima Kilimanjaro na Kuzindua Jezi zetu Simba SC ili tu Kufunika tukio la Yanga SC kwa Wao Kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais Wawili wa Malawi na Tanzania.

Na si lazima kila Yanga SC ikija na Kitu kipya cha Ubunifu basi na Sisi Simba SC tuanze Kulazimika kutafuta Tukio la Kuwafunika Yanga SC na tuzungumzwe Simba SC tu.

Haya tumejipanga na hadi Kutangaza kuwa Jezi zetu Simba SC tunaenda Kuzindulia Kileleni Mlima Kilimanjaro na Tukio kuwa televised na Azam Tv je, ikitokea Siku hiyo hali ya Hewa ya huko Mlimani ikabadilika na kuwa mbaya au si rafiki hizo Jezi zetu tutazindundulia wapi?

GENTAMIYCINE naheshimu mno na sana Ubunifu wa Matukio mbalimbali ya Simba SC na napenda kuona Ubunifu zaidi ila sipendi Ubunifu wa Kishamba, Kienyeji na wenye Mhemko kwani mnaweza kudhani mnaingarisha Simba SC Kimatukio kumbe ndiyo mkawa mnatuanika wana Simba SC wote ( GENTAMIYCINE nikiwemo ) kuwa ni 'Mapimbi' kweli kweli na tukaanza Kuchekwa na Watani zetu Yanga SC.

Na nimetoka kutizama Weather Forecast ya Ijumaa ijayo Siku ya Tukio itakuwa ni Baridi Kali na Mawingu kule Kileleni hivyo naona kabisa kama Msemaji Wetu Simba SC Ahmed Ally ndiyo atapanda kule juu na Jezi zetu mpya anaweza asirejee mazima, huku Cameraman wa Azam Tv nae Pumu ( Asthma ) ya ghafla Kumkamata na Kushindwa kuchukua Matukio yote muhimu.
Ukitoka ban Huwa unaandika vitu sensible sana
 
Ajabu ni kwamba hayo matamanio hamuwezi kuyapata sasa hivi. Kwa hiyo komaeni na chief Mangungo wa Msovero na MJARIBU TENA mwaka ujao
 
Sijaona bado ulazima huo wa Kujihangaisha kwenda Kileleni Mlima Kilimanjaro na Kuzindua Jezi zetu Simba SC ili tu Kufunika tukio la Yanga SC kwa Wao Kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais Wawili wa Malawi na Tanzania.

Na si lazima kila Yanga SC ikija na Kitu kipya cha Ubunifu basi na Sisi Simba SC tuanze Kulazimika kutafuta Tukio la Kuwafunika Yanga SC na tuzungumzwe Simba SC tu.

Haya tumejipanga na hadi Kutangaza kuwa Jezi zetu Simba SC tunaenda Kuzindulia Kileleni Mlima Kilimanjaro na Tukio kuwa televised na Azam Tv je, ikitokea Siku hiyo hali ya Hewa ya huko Mlimani ikabadilika na kuwa mbaya au si rafiki hizo Jezi zetu tutazindundulia wapi?

GENTAMIYCINE naheshimu mno na sana Ubunifu wa Matukio mbalimbali ya Simba SC na napenda kuona Ubunifu zaidi ila sipendi Ubunifu wa Kishamba, Kienyeji na wenye Mhemko kwani mnaweza kudhani mnaingarisha Simba SC Kimatukio kumbe ndiyo mkawa mnatuanika wana Simba SC wote ( GENTAMIYCINE nikiwemo ) kuwa ni 'Mapimbi' kweli kweli na tukaanza Kuchekwa na Watani zetu Yanga SC.

Na nimetoka kutizama Weather Forecast ya Ijumaa ijayo Siku ya Tukio itakuwa ni Baridi Kali na Mawingu kule Kileleni hivyo naona kabisa kama Msemaji Wetu Simba SC Ahmed Ally ndiyo atapanda kule juu na Jezi zetu mpya anaweza asirejee mazima, huku Cameraman wa Azam Tv nae Pumu ( Asthma ) ya ghafla Kumkamata na Kushindwa kuchukua Matukio yote muhimu.
Acha uzwazwa jezi zitazinduliwa tu kileleni, iwe mvua iwe jua
 
Ametoka kwenye ban, adabu imefuata mkondo wake
Waambie waniongezee BAN nyingine ili ufurahie zaidi sawa? Halafu umeshajiuliza ni kwanini hata GENTAMIYCINE nikiwa BANNED kwa siku, wiki, mwezi na miezi bado tu naendelea kujadiliwa na kuwa na mvuto wangu ule ule hapa JamiiForums?

Hawezi kamwe kupewa tunu (shani) kuu nne (4) tukuka za kuwa;

1. Purely Talented
2. Charismatic Fella
3. Game Changer
4. Entertainer

Halafu usiwe kipenzi cha members hapa JamiiForums na chukizo kwa wapumbavu na waswahili wa mfano wako.

Utajiri mkubwa wa Followers 158 nilionao hapa JamiiForums ni jibu tosha kuwa nina thamani ya kipekee na mvuto usio wa kifani kwa wasomaji huku wapumbavu mnaopoteza muda wenu kutwa kunichukia, kunishambulia, kunidhalilisha na kunitukana hapa JamiiForums mkiwa ndiyo watu mnaosaidia kuniongezea umaarufu wangu hadi kujadiliwa ndani na nje ya JamiiForums.

Asante Mwenyezi Mungu.

Mimi ndiyo GENTAMIYCINE The King!
 
Back
Top Bottom