bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 11 kupita: Inter Milan yatwaa ubingwa wa Italy 2020/21

    Inter Milan imetwaa ubingwa wa Italy baada ya miaka 11 kupita na kumaliza utawala wa Juventus ambayo imetwaa ubingwa kwa Mara kumi(10) mfululizi. Mara ya mwisho inter kutwaa ubingwa ni msimu 2010/11 Chini ya kocha Mourinho na leo imetwaa ubingwa chini ya kocha Antonio Conte baada ya Atalanta...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Namshauri kocha wa simba kuendelea kumtumia Mugalu kwenye match ngumu za Klabu Bingwa

    Mimi ni shabiki wa timu ya simba Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wadau mbalimbali wakitaka kocha wa simbs amtumie Kagere badala ya Mugalu Ila wengi wanaendeshwa na mihemko. Naomba niwalinganishe watu wawili kagere Na Mugalu. Kagere udhaifu 1. Kwanza hajui Kukaba 2...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusizinguane na tusichoshane Yanga SC haina Wachezaji wenye Hadhi, Simba SC itakuwa Bingwa tu, DC Jerry Muro

    Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa Arumeru Jerry Muro ' kawachana ' makavu kabisa. Mkiambiwa Yanga SC kuna shida muwe mnatuelewa sawa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya draft kutafuta bingwa wa mkoa Tanga, Mtaleban apewa ushindi wa mezani

    Wakuu nipo mkoani Tanga nilikuja kwa shughuli maalum ya kushuhudia pambano Kali la kutafuta bingwa wa draft mkoa tanga fainali siku ya Jana jion ilitakiwa kupigwa Kati ya bwana Mtaleban dhidi ya dogo yassin. Duru zote zilikua zinaonyesha kua bwana Mtaleban angeenda kuutema ubingwa wake wa mkoa...
  5. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Historia inaandikwa Simba anamaliza Klabu Bingwa akiwa kinara

    Simba 4-1 as vital Al merehk 2-2 alhaly kwa matokeo haya rasmi simba anakua kinara wa kundi kwan mechi ya mwisho watakapo kutana simba na alhaly ata kama simba atafungwa atabaki kua kinara kwani akuna wa kumfikia kwa point msimamo upo ivi Simba p 13 Alhaly p 8 As vital P 4 All merekh p 2...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bia Bingwa imerudi?

    Wakuu nimekutana na rafiki yangu Arusha ametoka safarini Iringa amekuta huko bia ya Bingwa akaja na chupa kadhaa. Hii bia kumbe imerudi tena? Ilipotea kitambo sijawahi kuiona.
Back
Top Bottom