bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

    Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla. Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

    Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naanza sasa Kumuamini aliyeniambia kuwa Kipa Msheri wa Yanga SC atapona Ugonjwa Usiojulikana Yanga SC ikiwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa kwa kila namna ili lisijadiliwe kwani Kuugua Kwako huko ni Mkakati Maalum wa Babu ili mwaka huu Timu...
  4. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Yanga kachukua kombe la Caf. Je, atashiriki klabu bingwa au atashiriki CAF ili kulitetea?

    Naomba ufafanuzi juu ya Hilo.
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga ni bingwa 2023, ni darasa kwa wadau wote wa mpira nchini

    Mpira ni uwekeaji, uongozi wa vijana na usajili wa vijana wenye vipaji. Mpira unachezwa na vijana hivyo huwezi kuwa na viongozi wa mpira wazee waongoze mpira. Mpira sio ulozi na mizengwe bali sayansi ya mpira kama kama waliyonayo Nabi na kaze. Mpira ni coordination ya wadau wengi, sio mtu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  7. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania I Bet Msimu huu 2022/23 Yanga atakuwa Bingwa makombe yote 4

    Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
  8. Area 56

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

    Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu. Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1 Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

    Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora. Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

    Maelezo yote yapo katika picha
  11. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Kwa ubora na ukubwa wa Wydad bingwa mtetezi CAFCL, ilitegemewa wangepata ushindi mnono

    Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo. Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC bingwa mtetezi wa cafcl. CAF kuichagua Simba kutoka ukanda wa SADC kuwemo kwenye michuano ya Super...
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hii Club bingwa Africa msimu huu

    Nimetazama game ya Simba vs Wydad. Sasa ivi nawatazama hawa Al ahaly vs Raja. + CR Belouizdad vs Mamelody aisee izi timu nane zote ni HESHIMA Ila kule ktk kombe la Looserniko na mashaka migoli itakuwa mingi
  13. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

    Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ni kujidanganya kwa mashabiki wa Yanga na Simba kuwaza kuchukua kombe la Club Bingwa badala ya kombe la Shirikisho

    Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho. Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
  16. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, bingwa wa uchumi ever seen here in Tanzania

    Huyu jamaa ni msomi na mahiri mno wa uchumi ndio mana huwezi kukuta anakosolewa na profesa yeyote wa uchumi maana wanamuogopa sana. Maprofesa wengi waliunga unga lakini Mwingulu straight kutoka Mzumbe na alipiga first class UDSM wakati maprofesa wengi hawana hii. Profesa kama Semboja degree yake...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale ambao mlinishambulia hapa JamiiForums December 2022 niliposema Yanga SC Bingwa tena Msimu huu mpo wapi?

    Jifunzeni kuheshimu Watu waliobarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu halafu na hata Soka la Tanzania ( Bongo ) wana PhD ( Doctorate ) nalo sawa? Kama tu ndani ya Mechi Nane walituacha kwa Alama Tano tulishindwa Kuwakuta je, leo tumebakiza Mechi Sita ndiyo tunajidanganya kuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni timu tishio kwa sasa klabu bingwa, imekamilika kila idara

    Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na beki kijana bwana joash onyango, Na ilo limeonekana kwenye mechi zote mbili walizocheza na timu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mnafanya wote ila ni kwa nini mwanaume huonekana bingwa hujisikia fahari?

    Lile jambo tunafanya wote na kuna wakati mwanaume huzidiwa kabisa ila ni nadra sana kumkuta mdada au mama anajisifu juu ya game. Sio hivyo tu Kuna wakati hata katika stori za kawaida mdada au mama akisema huyo dada fulani au mama fulani si wamfanye tu Hadi akome. Ila haisemwi hivyo kwa jinsia...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 360 wanapatiwa matibabu ya Saratani ya Ubongo kwa Mwaka

    Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
Back
Top Bottom