bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Kundi la Yanga ndio litatoa bingwa wa hii michuano

    Huu ndio ukweli na ndio maana mpaka leo timu namba moja kwa ubora bado haina uhakika wa kutinga robo fainali(mpaka sasa inahaha kuingia robo fainali). Labda Mamelodi ndio anaweza kuleta ushindani.
  2. Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

    Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake. Kwanza ilikuwa ikifika masinia yale wakati wa kugawanywa, kila mmoja anakodoa macho isije ikawahiwa...
  3. C

    Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

    Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
  4. Dani Cadena kocha bingwa wa figisu asiye na uwezo aliyeivuruga Azam. Kaweza kuzuia Mgunda lakini hatashinda gemu hata moja

    Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji. kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa. Toka aje simba kiwango cha makipa...
  5. Biashara haramu kwa miaka mitano mtu anastaafu sawa na Daktari bingwa

    Habari za saa hizi wana jamvi, hongereni wana Dar es Salaam kwa mvua, sasa hamna kisingizio cha kutokupeana. SIASA: Ukiacha biashara haramu ya madawa ya kulevya, biashara ya Siasa ndiyo inayolipa kuliko zote. Wakati kila uchao maghorofa na biashara mpya zikifunguliwa, siasa ni biashara mpya...
  6. Timu ya Ulowa Bingwa Cherehani CUP 2023

    ULOWA BINGWA CHEREHANI CUP 2023, RAIS SAMIA APEWA TANO KUIMARISHA MICHEZO Mashindano ya CHEREHANI CUP 2023 yamefika ukomo tarehe 15 Octoba 2023 katika uwanja wa Nyamilangano yakiwa yamefanyika kwa zaidi ya wiki tatu huku jumla ya timu 20 kutoka kata zote za Halmashauri ya Ushetu zikiwa...
  7. Kati ya Simba na Yanga ni nani amepangiwa kundi gumu Klabu Bingwa?

    Baada Ya hatua ya Makundi kwa sasa ni Robo Fainali, Timu zetu mbili za Tanzania zimepangwa na Wababe wa soka la Afrika. Wengine wanasema hii ndo ilipangwa kuziangusha Tumu za Tanzania, Japo hakuna uthibitisho. Wengine wamekuwa na mtizamo chanya na kuona kama Soka la Tanzania limekuwa, na...
  8. Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  9. Nabi 'chali' Klabu Bingwa Afrika

    Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya Tunisia. FAR Rabat wamepigwa nje-ndani baada ya kupoteza kwa 1-0 na 1-2 kwa mechi za ugenini na...
  10. Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

    Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa. Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
  11. H

    Wapenzi wa ndondi, kipindi bondia Tyson bingwa wa dunia kulikuwa na mapambano ya utangulizi kabla ya pambano lake!!?

    Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha. Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
  12. Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

    Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo. Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
  13. Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

    Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.
  14. Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  15. Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  16. Ngao ya Jamii 2023/2024 itakwenda Simba Sc, NBC 2023/2024 Bingwa atakuwa Simba Sc

    Baada ya kuchambua kwa kina hizi timu za kibongo na sasa nimejiridhisha kuwa Bingwa wa NBC Premier League msimu wa 2023/2024 atakuwa timu ya Simba Sc, mpaka ligi NBC inafika ukingoni Simba Sc atamwacha Yanga Sc kwa zaidi ya point tano. ukumbuke huu uzi ligi ikishaanza na pale ligi itakapokwisha...
  17. L

    ‘Mtego wa madeni’ ni nyenzo ya propaganda inayotumika na jopo la washauri bingwa wa nchi za Magharibi

    Mwaka huu ni wa 10 tangu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika miaka hii 10, ushirikiano kati ya China na nchi zilizo katika njia ya Ukanda Mmoja na Njia Moja zimefaidika kwa kiasi kikubwa. Mwenyekiti wa Taasisi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja ya...
  18. Upekee tunaoutaka wana Simba SC ni kuwa Bingwa wa CAFCL na Super League siyo kuzindua Jezi Mlima Kilimanjaro

    Sijaona bado ulazima huo wa kujihangaisha kwenda kileleni Mlima Kilimanjaro na kuzindua jezi zetu Simba SC ili tu kufunika tukio la Yanga SC la wao kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais wawili wa Malawi na Tanzania. Na si lazima kila Yanga SC ikija na kitu kipya cha ubunifu basi na sisi...
  19. Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

    Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini. Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi...
  20. Ushahidi huu hapa yanga bingwa mara 29

    Kutokana na Mjadala alio Uanzisha zakazakazi Afisa habari wa Azam FC. Kuwa Yanga sio Bingwa Mara(29)bali Yanga ni Bingwa Mara(22)na Simba bingwa Mara 21. Mjadala Umekuwa Mkubwa Wengi wakikosoa ya Kuwa zakazakazi Kahamua Kukaza Fuvu tu. Ukweli ni Kwamba Mimi Muandishi wajuzi tu hivyo historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…