Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,291
Mbinu Binafsi Dhidi ya Korona
NARUKA!: Haya ni maoni binafsi. Mimi si daktari tabibu wa binadamu (MD). Ukiyafuata yaliyoandikwa humu ni kwa hasara na hatari yako mwenyewe. Yaliyoandikwa humu siyo ushauri wa afya. Pata huduma kwa watoa huduma za afya wanaotambulika na mamlaka husika kwa masuala yako yote yahusianayo na afya. Umetahadharishwa!
Binafsi hizi ni baadhi ya mbinu ninazozitumia dhidi ya korona. Mbinu hizo, kwa urahisi wa mjadala, zinagawiwa katika mafungu yafuatayo:
A. Kabla ya maambukizi
B. Pale inaposemekana korona ipo mitaani.
C: Wakati wa maambukizi, lakini dalili za kawaida.
D. Hali yenye changamoto ya kupumua.
A: Kabla ya Maambukizi
Awali ni kupunguza hofu. Katika watu kila watu elfu moja (1,000) wanaoambukizwa korona, mia tisa tisini na tisa (999) hatimaye hupona. Kwa bahati mbaya, mmoja hufariki. Kwenye vyombo vya habari utasikia kuhusu yule mmoja. Wale 999 hawasikiwi. Uwezekano wa kuwa ndiye yule mmoja ni 1/1000, au 0.1%. Uwezekano wa kuwa ni yule mmoja kati ya wale 999 ni 99.9%. Kwa hiyo korona siyo ugonjwa mkali kama unavyopigiwa kelele. Tahadhari ni muhimu. Hatutaki tupoteze maisha ya mtu hata mmoja. Lakini ukiangalia namba, utakuta maleria ni hatari kuliko korona. Kwa mahesabu yangu yasiyo rasmi, maleria inaua 0.31% ya wanaougua maleria Tanzania. Yaani, maleria inaua mara 3.1 (310%) zaidi ya korona. Kama ni kuogopa, basi ni kuogopa korona kwa theluthi ya kuogopa maleria.
Pili ni kupata lishe na kuzingatia masharti ya afya ya kawaida. Kwenye hili pana njia mbili -- ya asili na ya nyongeza.
(i) Njia ya asili ni ya kutumia mbogamboga za majani, hasa zikichakatwa mbichi kwenye "blender" na kunywewa kama sharubati. Mbogamboga hizo zinaweza kuwa ni mchicha, matembele, majani ya maboga, mnanaa, mnafu, majani ya kunde, uyoga, figili, tango, mchunga, bilinganya, ndimu au chungwa, parachichi, binzari/manjano, ubuyu, tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji, karafuu, majani ya maboga, soya na asali. Siyo lazima vipatikane vyote hivyo, lakini ukipata vyovyote vichache, mfano: mchicha na matembele, mchunga, binzari/manjano, ubuyu, kitunguu maji na asali unaweza kuwa ni mchanganyiko murua kabisa kuimarisha kinga ya mwili. Pia kula matunda mbalimbali na kuzingatia lishe.
(ii) Njia ya viinilishe vya nyongeza ("supplements"). Hizi ni
Vitamin D, hasa zile 'capsule' zenye IU 5,000;
Zinki ("chelated zinc" au hata PediZinc);
multivitamin kama vile Vitacap au Ginsomin;
Melatonin (ikipatikana) na Quercetin (ikipatikana).
Hizi zote ni kubusti mwili uwe na kinga ya kutosha. Muhimu kuliko zote hapo ni Vitamin D na multivitamin kama vile Vitacap ambayo ina zinki ya kutosha pia.
Edit: Vitamin D za IU 5,000 kama zimeadimika au bei siyo rafiki, mafuta ya samaki (baadhi tunayakumbuka utotoni tulilazimishwa kuyanywa) yanaweza kuwa mbadala.
Habat soda (kalonji) pamoja na asali (angalia Edit 2 hapo chini)
B: Pale inaposemekana korona ipo mitaani
Unywaji wa vidonge vya zinki, kwinini, ivermectin, vitamin D na Multivitamin mpaka upepo utakapopita.
Edit: Kama ivermectin imeadimika, dawa ya minyoo mebendazole.
C: Wakati wa Maambukizi
Wakati wowote nikijihisi niko kwenye hatari ya kuwa nimeshaambukizwa, basi huchukua hatua zifuatazo, zikiwa ni nyongeza ya zile za kabla ya maambukizi:
(i) Dawa ya maleria, hasa kidonge cha kwinini au chochote kingine chenye jina *quine au artemisin. Lengo ni kuvizuia virusi vyovyote mwilini kujiambatisha kwenye seli za mwili, kuvivuruga virusi vyenyewe moja kwa moja, na pia kufungulia njia zinki ivifuate virusi ndani ya seli ikiwa vipo vilivyofanikiwa kupita.
(ii) Zinki - kwa ajili ya kwenda kuvizuia virusi vilivyofanikiwa kuingia kwenye seli kufanya uharibifu zaidi.
(iii) Antibiotic - Azithromycin au Powersafe IV kupitia watoa huduma za afya. Hii ni kupambana na virusi pamoja na vijidudu nyemelezi.
(iv) Ivermectin - Hii ni dawa ya magonjwa anuai, nayo imetajwa kuwa ni msaada mkubwa kukinga NA kutibu hatua zote za ugonjwa wa korona. Kadiri inavyowezekana, ivermectin si ya kuikosa.
Edit: Angalia: video za kuhusu ivermectin
Video 1: Ivermectin dunia ya tatu
Video 2: Ivermectin inajadiliwa
Video 3: Madaktari wanaizungumzia
Video 4: Maelezo ya utendaji wa ivermectin
(v) Fluvoxamine au SSRI nyingine itakayopatikana.
D: Wakati wa Changamoto ya Kupumua
Ikifikia hatua hii, hapo ni hatua kwa kimombo wanaita Hail-Mary -- silaha zote zilizopo zitatumika, kwani hapo ni kupambania uhai; na madhara yanayoweza kutokea ni hatari ndogo kuliko kifo kwa changamoto ya kupumua.
(i) High dose of Vitamin D IU 50,000; and High dose of Vitamin C , Intravenous; and Vitamin B (Thiamine).
(ii) Ivermectin;
(iii) Finasteride / Dutasteride au Anti-Androgen yoyote itakayopatikana.
(iv) dexamethasone au hydrocortisone au prednisone; au corticosteroids zozote zingine zitakazopatikana.
(v) Heparin au anticoagulant ingine.
(vi) Atorvastatin au Statins nyingine.
Zitakazopatikana, hata kama ni zote, huku muingiliano wa dawa mbalimbali ukizingatiwa.
Edit 1: Protokali za kutibu korona za China, Marekani na India, zimeongezwa kama viambatisho.
EDIT 2:
Hivi karibuni Nimeambiwa tiba ya korona kwa mmea ambao sikuwa nimewahi kuusikia.
Nigella sativa ndio jina la kisayansi.
Black seeds au Black cumin ndio jina la kiingereza.
Kule Asia mmea huu huitwa Kalonji.
Unajulikana pia kama Habbat sauda, habbat soda au habati soda 😁.
MATUMIZI
1. Mbegu zake zikisagwa au mafuta ya Habati soda.
2. Asali
3. Tangawizi
Kwenye namba tatu hapo nadhani karafuu inaweza pia kuwapo lakini aliyeniambia kuhusu hiyo alitaja tangawizi.
Inaleta relief kubwa sana na ya haraka kwa mgonjwa. Ndivyo alivyoniambia.
Linki zifuatazo ni baadhi ya machapisho yanayounga mkono hoja hii:
This video summarises benefits of using Habbat sauda to fight against coronavirus; and the science behind.
Habat soda na asali zikifanyiwa Clinical Trials.
Preprint ya makala ya Habat soda na korona.
Ripoti kuhusu Habat soda na korona.
Edit 3: June 24 2021
Updated the iMASK and MATH+ protocols.

ClinicalTrials.gov
clinicaltrials.gov
Habat soda na asali zikifanyiwa Clinical Trials.
Preprint ya makala ya Habat soda na korona.
Study suggests honey and Nigella sativa expedites viral clearance in COVID-19 patients
A team of researchers from various institutes across Pakistan, Chile, Canada, and the USA recently conducted a clinical trial to investigate the potential effectiveness of a combination of honey and Nigella sativa (HNS) in treating COVID-19 patients. Their study is published on the preprint...
www.news-medical.net
Ripoti kuhusu Habat soda na korona.
Edit 3: June 24 2021
Updated the iMASK and MATH+ protocols.