binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mzee Mwinyi: Nyerere alitaka pawepo mgombea binafsi lakini CC ya CCM ilimkatalia, pia CCM ilipinga vyama kuungana ikihofia itakufa

    Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi. Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea binafsi katika mfumo wa vyama vingi lakini kamati kuu ilikataa kwa madai anaweza kutokea mtu maarufu...
  2. J

    Awamu hii Spika angekuwa Zungu kasi ya maendeleo ingeongezeka, Job anapenda ligi na Mbowe ambayo ni yao binafsi

    Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa. Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais...
  3. YEHODAYA

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu. Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
  4. sky soldier

    Mchawi hana akili, tukutane hapa ambao tumekutana na vimbwanga vyao, binafsi nlihama nyumba

    Mchawi kiukweli hana akili, mtu umelala zako usiku ukidhani wengi mmelala kumbe ndi kwanza kuna watu hutumia huo mwanya kujiandaa kuja kukusumbua usiku. Nakumbuka nikiwa kijana mdogo (miaka 22) nlichoka kukaa hostel za chuoni nikaenda kupanga ghetto mtaani ili niwe na uhuru zaidi kumiliki...
  5. Nyankurungu2020

    Kama sekta binafsi haitafufuliwa watanzania waandike maumivu

    Miaka mitano ya Hayati Magufuli sekta binafsi imekufa. Wakandarasi wamekauka mifuko. Wenye maduka, super market, mama ntilie wapo hoi bin taabani. Sekta ya ujenzi iliuliwa na Forced account. Mama ntilie walikosa wateja sababu mzunguko wa pesa ulizizi. Purchasing power ilishuka wenye baa...
  6. J

    Dkt. Ndugulile ataka ushiriki wa Sekta Binafsi katika kuelekea uchumi wa kidijitali

    NDUGULILE ATAKA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA KIDIJITALI Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka sekta binafsi kushirikiana na Serikali katika kuleta mapinduzi ya TEHAMA kwa lengo la kuelekea uchumi wa kidijitali. Dkt Ndugulile...
  7. GENTAMYCINE

    Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

    Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni. Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
  8. Petro E. Mselewa

    Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  9. Red Giant

    Binafsi naona hii ndiyo faida kubwa ambayo Tanganyika inapata kupitia Muungano

    Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
  10. Sky Eclat

    Watoto wanaopata ufaulu wa juu na kupata nafasi ya kusoma shule binafsi wanakuwa wahanga katika ufadhili wa elimu ya juu

    Sophia binti wa miaka 16 alipata ufaulu wa daraja la kwanza kwa point 17 katika ufaulu wake wa shule ya upili. Baba yake Sophia ni dereva serikalini na mama anafanya biashara ya chakula. Nyumbani wamezaliwa watoto watano na Sophia ni watatu kuzaliwa. Nyumbani waliishi maisha ya kawaida...
  11. T

    Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  12. J

    Je, unafahamu taarifa binafsi unazotoa zinatunzwa wapi?

    Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye mikono ya nani na zinatunzwa vipi Hii itasaidia kutoa muongozo kwa mtu kujua anatakiwa kwenda kwa nani...
  13. K

    UDART iendeshwe na kampuni binafsi za uendeshaji (Management companies)

    Mimi nashangaa kuendelea kuchagua wanasiasa kuendesha mashirika kama haya. Ushauri wangu ni kutangezwe zabuni maalumu za uendeshaji tu. 1. Kila kampuni ije na mpango wake wa miaka mitano. 2. Jinsi ya kulipwa iwe kutokana na faida. 3. Mradi unatakiwa kujiendesha wenyewe na kutenga pesa kila...
  14. J

    Makubaliano ya Umoja wa Afrika kuhusu ulinzi wa Data binafsi za watu

    Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa ajili ya kuimarisha #Haki za msingi za binadamu, uhuru wa raia ikiwemo ulinzi wa taarifa zao na kutoa...
  15. J

    Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. Kasomi

    Utafiti wangu binafsi

    Utafiti wangu binafsi katika swala hili Nikwanini katika group au magroup na hata katika mitandao mingine ya kijamii wanaume huwa wanakuwa kipaumbele🚶🏼‍♂️ kumfata mtu ibox📩 kwa mawasiliano📞 ya kimauhusiano ya kimapenzi?? Hasa hasa wanaume!! Unafikri ni kwasababu gani?
  17. Ben Zen Tarot

    Silaha aina gani zinaruhusiwa kumilikiwa na mtu binafsi Tanzania?

    Hivi ni aina gani za silaha anaruhusiwa kumiliki kisheria mtu binafsi? Au yoyote unayohitaji?
  18. J

    Ukiondoa malalamiko yake binafsi, ukweli mchungu aliouongea Mbowe jana ni "tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua"

    Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua. Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni. Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi...
  19. J

    Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  20. lee Vladimir cleef

    Naanzisha maombi binafsi kwa ajili ya Simba,Nawashauri Simba hivi

    Mimi Ni Mtanzania,Mimi Ni mpenzi au shabiki wa Simba tokea nimezaliwa ila Ni mshabiki muoga,huwa naumwa Sana Simba ikicheza mechi nzito. Kuanzia leo naanzisha maombi maalum kuiombea Simba ishinde mechi zake zote zikizobaki,maana yake ichukue kombe. Kwa sisi waombaji na kwenye ulimwengu wa roho...
Back
Top Bottom