binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. wajingawatu

    Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  2. Naantombe Mushi

    Majanga kama hili la Moto Kariakoo yanazidi kutukumbusha umuhimu wa Sekta Binafsi kwenye Uchumi

    Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi. Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
  3. L

    Benki zinatakiwa kuwa kichocheo kwa maendeleo ya sekta binafsi

    Katika miaka ya hivi karibuni tatizo la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika Mashariki, na serikali zimekuwa zikifanya juhudi katika kuhimiza vijana kutotegemea ajira za serikali au makampuni peke yake, kutokana na ufinyu wa idadi ya ajira kwenye maeneo hayo...
  4. B

    Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi

    Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo. Zaidi sana anasema Kibatala...
  5. Memento

    Nimeamini CCM huwa kitu kimoja kwenye maslahi yao binafsi

    Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu. Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati ya Mataga(CCM ya mwendazake) na CCM asilia(ile ccm ya mafisi) , naiita CCM ya mafisi maana hata...
  6. L

    Habari za vijana kujiajiri ni maneno matupu, vijana, Serikali na sekta binafsi tafuteni muarobaini wa ukosefu wa ajira

    Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili: 1. Waajiri (Serikali na sekta binafsi) 2. Waajiriwa (Vijana na makundi mengine) Tuache kuchanganyana kila kundi lifanye...
  7. GENTAMYCINE

    Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

    Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia...
  8. J

    Je, Hayati Magufuli alikuwa anatekeleza Ilani ya CCM au alitenda kama mgombea binafsi japo kikatiba haipo?

    Kwenye uchaguzi mkuu option huwa ni mbili kuna wanaochagua chama na Ilani yake na kuna wengine wanachagua mtu bila ya kujali itikadi za kisiasa. Kuna wakati RC mstaafu wa Mbeya Albert Chalamila aliwahi kusema kwa utendaji wa Magufuli ulivyo inabidi kianzishwe chama kingine kitakachoitwa...
  9. Masalu Jacob

    Katiba Mpya: Wagombea binafsi mpo?

    Habari Tanzania! Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za chaguzi za Kiserikali hususani kupitia siasa. Mfano; Wenyeviti wa vijiji/ Mitaa, Madiwani, Wabunge...
  10. H

    Anayehitaji dereva binafsi

    Salaam wakuu, Kwa yeyete mwenye gari na anahitaji dereva wakumsaidia kumpeleka safari zake ndogo ndogo za hapa na pale mjini Dar es salaam,anichek tu,malipo tutaelewana ila trust me atakuwa kapata kijana msomi na smart wa kumuendesha😊. Contacts 0653737209 Gender: Male Age: 24
  11. K

    Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

    Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka. Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni...
  12. A

    Endelea kusonga: Je, umewahi kuwa na mazungumzo na nafsi yako?

    Je, Umewahi kuwa na mazungumzo na Nafsi yako? Ninachojua ni kuwa kwa kila mwanadamu jibu ni ndio, haswa wakati tunapokwama kwenye dhoruba kubwa na lazima tuchague njia moja ya kwenda mbele. Unajua wakati mambo yanapokwenda ndivyo sivyo sisi wengine tunapata vita kubwa sana katika nafsi zetu na...
  13. safuher

    Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

    Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo. Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia. Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi. Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa...
  14. isajorsergio

    Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

    Habari 👋🏾 Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies? Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili. Asante.
  15. Naantombe Mushi

    Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

    Wasalauumu wakuu!! Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana. Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
  16. Corticopontine

    Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
  17. B

    Dalili za Rushwa: Magari binafsi ya Traffic yanapotumika kukamata magari

    Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata. Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji. Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
  18. The Dictator

    Rais Samia kutoipa kipaumbele ikulu ya Dodoma: Je, kuhamia Chamwino ilikuwa matakwa binafsi ya Hayati Magufuli?

    Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku wengine wakihoji vipi mahusiano yao ya awali kati ya rais SSH na JPM kiushirikiano yalikuwaje kwa...
  19. Analogia Malenga

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  20. Dr. Wansegamila

    Tanzania iruhusu watu binafsi kujenga nyumba za kuhifadhia maiti (Mortuary rooms)

    Wadau hivi Bongo ukiachana na Mortuary zilizopo ndani ya hospitali, Mbona hakuna Mortuary ambazo Mtu/Kampuni zinamiliki private? i.e high class/ VIP mortuary? Mfano kwa wenzetu Kenya, hii fursa watu wameitumia kweli kweli na kuna private mortuaries nyingi tu watu wamezitengeneza, na wengi...
Back
Top Bottom