Kategele
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 968
- 2,230
Habari wana JF
Baada ya kupata rufaa ya JAKAYA kutoka Bugando nilifika Jakaya na kuendelea na vipimo pamoja na matibabu.
Vipimo vimeonesha anatakiwa kufanyiwa operation na Bima inacover gharama zote, changamoto umeonekana kuwa tatizo limechelewa kugundulika hivyo kwa operation hii ingefanywa akiwa na miezi mitatu uwezekano wa kurecover ungekuwa 90%. Kwa sasa ana miezi kumi hivyo wakimfanyia operation uwezekano wa kusurvive ni10% tu.
Kwa vile tumechelewa tumeshauriwa kupewa rufaa ya kwenda INDIA kwa uchunguzi zaidi.
Gharama za matibabu nimeambiwa si chini ya US solar 15,000.
Hivyo nimekuja mbele yenu anayefaham NGO inayosaidia watoto wenye shida ya moyo wanaotakiwa kupelekwa nje ya nchi anijuze au anipe ushauri kwa wale mliowahi kwenda India maana Bima hii nimeambiwa haihusiki na matibabu nje ya Nchi.
Karibuni